[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mdogo wangu siku moja tunapita hivi akaniamkia mm,mdogo wangu akamuambia mambo H..Mm ninapoishi kulikuwa na katoto kamoja kamemaliza form 4 kananiletea mzaha...watt wa cku hizi hawana uoga kbs
Form 4...?Mm ninapoishi kulikuwa na katoto kamoja kamemaliza form 4 kananiletea mzaha...watt wa cku hizi hawana uoga kbs
Ukakafanyaje mkuuMm ninapoishi kulikuwa na katoto kamoja kamemaliza form 4 kananiletea mzaha...watt wa cku hizi hawana uoga kbs
Nimeachana nako tu siwezi kutembea na katoto ka miaka 16 sijui nitajivunjia heshima mtaani yule si kama mwanangu tuUkakafanyaje mkuu
We Umesoma Moro sec enzi za Muhando au Mkangwa.....?Ulisoma moro sec nini!! 'kudimbua'
MkangwaWe Umesoma Moro sec enzi za Muhando au Mkangwa.....?
Good.....Mkangwa
Wiki tatu zilizopita nilikuwa Ifakara katoto ka Ore form One yaani kahitimu ka darasa la saba saizi kameanza form one pale Ifakara....kakaniambia kwani una ukubwa gani? Nilikuwa nazungumza na baba yake kuhusu biashara Fulani.....nikawashirikisha vijana lile neno kaliloniambia....wale vijana wakaniambia nikaache tu nisikapige Ila ile ndio tabia take kamewahi lala na watu wazima wengi tu pale mtaani tangu kakiwa darasa la sita. Ikanibidi niondoke huku nimeweka mikono nyuma kurudi nilikotoka.....watoto wanatunyea vichwani walahi!Mm ninapoishi kulikuwa na katoto kamoja kamemaliza form 4 kananiletea mzaha...watt wa cku hizi hawana uoga kbs