Mapenzi ya wanafunzi vyuoni

sika

Member
Oct 5, 2009
21
0
Jamaa mmoja ni mwanafunzi wa chuo cha TIA mwaka wa tatu kwa sasa yupo field mkoani morogoro,aliamua kwenda kufanyia field mkoa huo ili awe karibu na du wake ambaye anasoma SUA. Binti naye akadanganya kwa kuwa chuo cha kinafunguliwa mwezi wa 9,alidanganya ili apate nafasi ya kujinafasi na njemba yake.njemba ilikuwa imepanga chumba mitaa ya Kihonda. Basi mshikaji akawa anajimegea kama kawa, inshu ilikuja kutokea ni kwamba du kila siku akawa anataka ikafika kipindi mshikaji hadi akawa anasinzia ofisi kwa sababu ya kazi za ucku. Kwa sasa mshikaji amegombana na du wake kwa kisa hicho.

kuwa na mademu wengi sio kipimo cha ulijari,kama wewe mwanaume wa kweli nyumbani wapate ugali
 
Watu wanapeleka dagaa home wakati mtaa wa pili mrembo anapelekewa mazaga yaliyoshiba!
 
hahahaaaa.... njemba si angetumia dawa mnazotangaziwa kila siku tu ili asionekane dhaifu...
hahahahaaaaa......
 
Watu wanapeleka dagaa home wakati mtaa wa pili mrembo anapelekewa mazaga yaliyoshiba!

Huyo jamaa mbona nae boya sana...ilikuwaje anadanganywa kirahisi namna hiyo?

Alishindwa kufuatilia ishu ndogo hiyo? Huyo demu ni kumwekea spy mdogo tu, na haendi mbali anakamatwa live na jamaa anatemana na mpumbavu huyo!.... Yaani nimekufuata halafu bado unaniletea

ufirauni...aaaaaarghhh....! hakuna mapenzi hapo....!
naona hapa somo halijaeleweka!
 
mimi bado sijaelewa..point ni nini hasa? msichana kutaka sana na jamaa kuwa mchovu au?
 
sasa huyo mwanamme vipi? alitarajia mwanamke adanganye chuo ikisha asipewe kila siku?
 
triplet kosa la msichana ni kutaka kila siku! huh vile wanaume mnavyokuwa mnataka kila siku jee? mbona hakuna anaewalaumu
 
Jamaa mmoja ni mwanafunzi wa chuo cha TIA mwaka wa tatu kwa sasa yupo field mkoani morogoro,aliamua kwenda kufanyia field mkoa huo ili awe karibu na du wake ambaye anasoma SUA. Binti naye akadanganya kwa kuwa chuo cha kinafunguliwa mwezi wa 9,alidanganya ili apate nafasi ya kujinafasi na njemba yake.njemba ilikuwa imepanga chumba mitaa ya Kihonda. Basi mshikaji akawa anajimegea kama kawa, inshu ilikuja kutokea ni kwamba du kila siku akawa anataka ikafika kipindi mshikaji hadi akawa anasinzia ofisi kwa sababu ya kazi za ucku. Kwa sasa mshikaji amegombana na du wake kwa kisa hicho.

Nadhani nikisema habari hii imekaa kiumbea umbea na kiudakudaku sitakosea!
Kwa hiyo tatizo nini hapo? Au binti ni mtoto chini ya miaka kumi na nane?
 
Yaani Msichana huyo ningempata angenifurahisha sana kwa kutaka kila siku! Kwang angekimbia yeye! huyu jamaa hali matikiti maji nini?? Na mapera mabichi?
 
nimesoma mara mbili ili nijue nini cha kuchangia nimekosa sioni chochote hapa.
Kwa walioelewa nini hasa jamaa alichotaka kutuambia....eti kadanganya chuo kinafunguliwa mwezi wa tisa...mara jamaa anachoka na kusinzia ofisini...sasa mshikaji anagombana na du kwa kisa hicho.... hata mtoa mada mwenyewe naye mmh!
Afadhali hata mimi na ligi yangu ya "jamiiforums"
 
Kimsingi hakuna issue wala cha ajabu, kwani mtu kuzidiwa katika mapenzi si mambo ya kawaida tu! Yawezekana lishe ya mshkaji ilikuwa duni kwa sbb du kila siku anataka wakati hampi misosi ya kurejesha nguvu! Hapo lazima jamaa achemshe!
 
Habari haina uhusiano wowote na kichwa chake cha habari, Ni sawa tu huyo binti kama angeweza kusingizia sababu nyingine yeyote tu ili apate muda wa kutosha wa Ku-DO na huyo jamaa yake.

Ningefurahi sana kukapata kabinti kama hako kanachohitaji kutembelewa kule mahala kila siku. Huyo jamaa yake inaonekana ni mchovu na simtalaam, kifupi ni kuwa hamfikishi otherwise binti angeomba mwenyewe kurudi Dar kusubiria tarehe ya kweli ya chuo. Ama kweli kwenye miti wajenzi huwa hakuna .
 
Sioni kosa la DUU hapo, alijituma ipasavyo kumpa jamaa burudani lkn jamaa kumbe mchovu tuu, hawa ndo wanaongeza demand ya MUKU, DUME, KIFARU hahaha maana mpaka enhacements ndo wa perfom
 
Back
Top Bottom