hahahahahhawanataka na wao waanzishe uzi wa kuwa washawaki kukazana Kichochoroni
Hi guys,
Inashangaza mno, wakina kaka na wakina dada wenzangu bado mimi nafanya mapenzi ya vichochoroni. Juzi hapa narejea zangu kwa nyumba, usiku mitaa ya jirani nasikia zile kelele za watu wakifanya mapenzi pembeni kwa njia, vile nazidi sogea nikaona kaka kakamatia, eeish
Mnashindwa hata 15 ya guest house? So sad! Tubadilike jamani tunatiana aibu na wewe dada kama huyo anakufanya hivyo jua anakudhalilisha sana.
umeonaeeee,Hatuna pesa dada tutafanyaje sasa na hamu tunayo.
Hahaha.... mwombe ka video kama alichukua basiumeonaeeee,
wengine wanataka kuweka historia
nilitaka nikuambie umwombe maana yeye mwenyewe ndo mhusikaHahaha.... mwombe ka video kama alichukua basi
kweli kabisa, hii ni ngonokuna tofauti kubwa kati ya ngono Na mapenzi
Si ndicho nilichoshangaa eti "mimi".nilitaka nikuambie umwombe maana yeye mwenyewe ndo mhusika
rejea uzi wake utaelewa
wewe atakupa bhana omba halafu unipatie na mimi
teh
hajielewi kabisaSi ndicho nilichoshangaa eti "mimi".
Kwa usawa wa magu 15,000 ni sawa na kilo ngapi za unga wa,sembe?,ni kg 15 mnakula mwezi au week 2,kugegedana guest au kichochoroni utamu unakua huo huo,tena za uchochoroni za kuiba iba zinakua tamu zaidiHi guys,
Inashangaza mno, wakina kaka na wakina dada wenzangu bado mnafanya mapenzi ya vichochoroni. Juzi hapa narejea zangu kwa nyumba, usiku mitaa ya jirani nasikia zile kelele za watu wakifanya mapenzi pembeni kwa njia, vile nazidi sogea nikaona kaka kakamatia, eeish
Mnashindwa hata 15 ya guest house? So sad! Tubadilike jamani tunatiana aibu na wewe dada kama huyo anakufanya hivyo jua anakudhalilisha sana.
Si ungewapa 15 waende gestHi guys,

Au ahame uswaziSi ungewapa 15 waende gest
Jaribu siku moja.... yana raha yake...... na watu wanaenjoy🙄 Mapenzi sio lazima Gest kitandani. Hata mchangani yananogaga cha maana uchague sehemu safi, nzuri, yenye utulivuuuuuu Ushawahi kugegedwa huku unaangalia nyota na mwezi weyeeeee!