Mapenzi ya siku hizi

Mapenzi ya siku hizi

TANGAZO:
Nasikitika kukuambia ya kwamba utafiti wako ulioufanya ni batili na wala majibu yake hayana uhusiano wa moja kwa moja na hali halisi.
 
WanaJF habari!!

Hapana shaka kuwa sehemu kubwa ya maisha ya binadamu yanataliwa zaidi na mahusiano ya -me na -ke. Bado sijajua sababu hasa ni nini lakini nikiangalia katika maandiko matakatifu kule angalau naweza kupata jibu moja kuwa ndio jinsi pekee ya kuendeleza misingi ya uumbwaji wa ulimwengu na binadamu wake, kwa maneno mengine no -me no -ke, and no life nukta

Kuna utafiti nilioufanya usio rasmi kuhusu uhusiano wa kingono kati ya wanaume na wanawake.
Nimegundua kuwa wanaume wanapenda sana kutembea na aidha demu wa mtu ama mke wa mtu, hivyo hivyo kwa wanawake walio wengi wanapenda sana kutembea na waume wa watu, ili mradi awe anajua from the beginning kuwa anatembea na mtu wa mtu, awe -me awe -ke.
Nisaidieni kufanya utafiti mtagundua hivyo. Swali la kujiuliza ni kwanini hali hii(CHEATING) imekithiri kwa miaka ya hv karibuni?!?! mimi binafsi nimekosa jibu, kwa yeyote anaekubaliana nami naomba tu-share mawazo.

Mapenzi ya zamani unayajua?,kifupi hakuna jambo jipya duniani,kucheat hakujakithiri miaka ya hivi karibuni.

Nothing comes to a sleeping man but dreams-Tupac Shakur
 
ni kweli kabisa na habari zilizonifikia hivi pumbe kutoka Mpwapwa Dodoma zinasema kwamba kuna mwalimu wa shule ya msingi amefumaniwa na mke wa mtu na kuuwawa majira ya jana jioni saa 11 katika kijiji cha Kisima kata ya Mtera.kwa mujibu wa mleta habari hii ni kuwa mwl alikua akimgharamikia mke wa mtu matumizi mbalimbali kutokana na mwenye mke kushindwa kumudu hali ngumu ya maisha.
 
Nafikiri wanataka ku experience the difference, kupata uzoefu wa vitu vipya ambavyo havifanyiki kwa mume/ mke wake!
 
Back
Top Bottom