Mapenzi ya siku hizi

Mapenzi ya siku hizi

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,133
WanaJF habari!!

Hapana shaka kuwa sehemu kubwa ya maisha ya binadamu yanataliwa zaidi na mahusiano ya -me na -ke. Bado sijajua sababu hasa ni nini lakini nikiangalia katika maandiko matakatifu kule angalau naweza kupata jibu moja kuwa ndio jinsi pekee ya kuendeleza misingi ya uumbwaji wa ulimwengu na binadamu wake, kwa maneno mengine no -me no -ke, and no life nukta

Kuna utafiti nilioufanya usio rasmi kuhusu uhusiano wa kingono kati ya wanaume na wanawake.
Nimegundua kuwa wanaume wanapenda sana kutembea na aidha demu wa mtu ama mke wa mtu, hivyo hivyo kwa wanawake walio wengi wanapenda sana kutembea na waume wa watu, ili mradi awe anajua from the beginning kuwa anatembea na mtu wa mtu, awe -me awe -ke.
Nisaidieni kufanya utafiti mtagundua hivyo. Swali la kujiuliza ni kwanini hali hii(CHEATING) imekithiri kwa miaka ya hv karibuni?!?! mimi binafsi nimekosa jibu, kwa yeyote anaekubaliana nami naomba tu-share mawazo.
 
Mimi sikubaliani na wewe, kuna watu wanao penda wake zao tu, na hawana shida kufata wake za watu au mademu wa watu kama unavyo sema.



A Muslim must not hate his wife; and if he be displeased with one bad quality in her, then let him be pleased with another that is good.
Prophet Muhammad.
 
Hata mimi sijui labda shetani anaweza kuwa na maelezo mazuri.ila title haiendani na content
 
WanaJF habari!!

Hapana shaka kuwa sehemu kubwa ya maisha ya binadamu yanataliwa zaidi na mahusiano ya -me na -ke. Bado sijajua sababu hasa ni nini lakini nikiangalia katika maandiko matakatifu kule angalau naweza kupata jibu moja kuwa ndio jinsi pekee ya kuendeleza misingi ya uumbwaji wa ulimwengu na binadamu wake, kwa maneno mengine no -me no -ke, and no life nukta

Kuna utafiti nilioufanya usio rasmi kuhusu uhusiano wa kingono kati ya wanaume na wanawake.
Nimegundua kuwa wanaume wanapenda sana kutembea na aidha demu wa mtu ama mke wa mtu, hivyo hivyo kwa wanawake walio wengi wanapenda sana kutembea na waume wa watu, ili mradi awe anajua from the beginning kuwa anatembea na mtu wa mtu, awe -me awe -ke.
Nisaidieni kufanya utafiti mtagundua hivyo. Swali la kujiuliza ni kwanini hali hii(CHEATING) imekithiri kwa miaka ya hv karibuni?!?! mimi binafsi nimekosa jibu, kwa yeyote anaekubaliana nami naomba tu-share mawazo.

Nimekosa ushauri baada ya kugundua ni utafiti usio rasmi kwani ni wa mazingira zaidi.
 
wanajf habari!! Hapana shaka kuwa sehemu kubwa ya maisha ya binadamu yanataliwa zaidi na mahusiano ya -me na -ke. Bado sijajua sababu hasa ni nini lakini nikiangalia katika maandiko matakatifu kule angalau naweza kupata jibu moja kuwa ndio jinsi pekee ya kuendeleza misingi ya uumbwaji wa ulimwengu na binadamu wake, kwa maneno mengine no -me no -ke, and no life nukta kuna utafiti nilioufanya usio rasmi kuhusu uhusiano wa kingono kati ya wanaume na wanawake. Nimegundua kuwa wanaume wanapenda sana kutembea na aidha demu wa mtu ama mke wa mtu, hivyo hivyo kwa wanawake walio wengi wanapenda sana kutembea na waume wa watu, ili mradi awe anajua from the beginning kuwa anatembea na mtu wa mtu, awe -me awe -ke. Nisaidieni kufanya utafiti mtagundua hivyo. Swali la kujiuliza ni kwanini hali hii(cheating) imekithiri kwa miaka ya hv karibuni?!?! Mimi binafsi nimekosa jibu, kwa yeyote anaekubaliana nami naomba tu-share mawazo.
utafiti usio rasmi,ndio utafiti gani huo?
 
utafiti usio rasmi,ndio utafiti gani huo?

No sampling, no schooled research as of udom, udsm, mu, oxford, harvard, etc and so on and so on. Jitahidi kutulia, usiwe muathirika wa elimu za kikoloni


......................................................................................................................, kwa yeyote anekubaliana nami naomba tu-share mawazo
 
Nimekosa ushauri baada ya kugundua ni utafiti usio rasmi kwani ni wa mazingira zaidi.

Du kweli bongo kuna tabu, hv ni kweli hatupendi kusoma eehh wabongo?!

Hujaombwa ushauri, rudia kusoma post!!

POLE!!
 
no sampling, no schooled research as of udom, udsm, mu, oxford, harvard, etc and so on and so on. Jitahidi kutulia, usiwe muathirika wa elimu za kikoloni


......................................................................................................................, kwa yeyote anekubaliana nami naomba tu-share mawazo
utafiti wako usio rasmi unaniweka mimi kwenye kundi gani?
 
Du kweli bongo kuna tabu, hv ni kweli hatupendi kusoma eehh wabongo?!

Hujaombwa ushauri, rudia kusoma post!!

POLE!!

Nashukuru nitairudia baadaye ili kesho niweze kutoa majibu uliyopanga yatolewe.
 
Back
Top Bottom