Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jun 13, 2012 #1 SIMU ZA SIKU HIZI VITUKO: Girl:Hallow Boy:Sweety mambo vp? ... Girl😛oa. Boy:Utakuwa free weekend?.Nilikuwa nataka uje nyumbani kwangu. Girl:Oh,sory,sitaweza kuja coz kuna harusi ya Aunty yangu na siku ya pili kutakuwa na wageni nyumbani. Boy:Kama ni hivyo sawa,just nilikuwa nataka nikufanyie suprise,nimekununulia blackberry. Girl😱h,usijali mpenzi wangu,nitakuja,ata ukitaka nilale huko huko nitalala. Boy:Vipi kuhusu harusi? Girl:Harusi ipi?nilikuwa nakutania tu honey wangu.. Boy:Na mimi nilikuwa natania tu.
SIMU ZA SIKU HIZI VITUKO: Girl:Hallow Boy:Sweety mambo vp? ... Girl😛oa. Boy:Utakuwa free weekend?.Nilikuwa nataka uje nyumbani kwangu. Girl:Oh,sory,sitaweza kuja coz kuna harusi ya Aunty yangu na siku ya pili kutakuwa na wageni nyumbani. Boy:Kama ni hivyo sawa,just nilikuwa nataka nikufanyie suprise,nimekununulia blackberry. Girl😱h,usijali mpenzi wangu,nitakuja,ata ukitaka nilale huko huko nitalala. Boy:Vipi kuhusu harusi? Girl:Harusi ipi?nilikuwa nakutania tu honey wangu.. Boy:Na mimi nilikuwa natania tu.
kijembeee JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 409 Reaction score 105 Jun 13, 2012 #2 weka ugoko niweke jiwe,ful kauzu,ngoma droo
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jun 13, 2012 #3 hahahahahah umetisha