Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,782
- 76,967
Ushirikiano Ndiyo MzuriWivu ni ujinga.
Haya Mambo Mengi Sana Ya Wivu
Yanatuchelewesha Maendeleo 😆🥥😂
Ushirikiano Ndiyo MzuriWivu ni ujinga.
Kweli kuna watu wana roho mbayaSi ndio hapo sasa!
Ukweli usiopingika😀😀😀 hata Mimi kipindi nachepuka nlikuwa naanza kutoa taarifa kuanzia mchana ili jioni tusisumbuaneBrother na sister mfano wew uko dar na mpenzi wako iko mkoani ...siku ukisikia anakwambia eti Leo najihisi kuchokachoka nitalala mapema.. juwa usiku huo atakuwa machinjioni ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mpo wengi kumbeUkweli usiopingika😀😀😀 hata Mimi kipindi nachepuka nlikuwa naanza kutoa taarifa kuanzia mchana ili jioni tusisumbuane
Kwamba hakuna wanawake waaminifu?
Wapo wachache mno.Kwamba hakuna wanawake waaminifu?
Duh umetisha mkuu nayeye mkeee anaweza akakufanyiya hivohivoHaka kamchezo nakatumia sana kwa wife kwa sababu yeye yuko mkoa mwingine iyo siku huwa namwambie tu mke leo nimefanya kazi sana nimechoka napenda niwahi kulala baada ya hapo ni kuchukua gari na kuufata mchepuko lodge
Sent using Jamii Forums mobile app