wakuu wa humu ndani huwa hatulicheleweshi hiloJiandae kuitwa mwanaume wa Dar kwa huo msonyo
Hivi wanaume wa Daslam, mna matatizo gani....[emoji45] [emoji45] [emoji45]Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!
Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!
Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
Hivi wanaume wa Daslam, mna matatizo gani....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Maana kila kukicha hamuishi kulalamika yaani....[emoji52] [emoji52] [emoji52]
Wanaume wa Dar ni wavivu kula ugali hadi kuongea.Uwe unawapigisha story ,pengine anakusikiliza Wewe uliyemuita
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi wanaume wa Daslam, mna matatizo gani....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Maana kila kukicha hamuishi kulalamika yaani....[emoji52] [emoji52] [emoji52]
Kwa msonyo huo, hapo sijaona utofauti kati yako na dadaako yule mwenye mnachangia lipsticks, vipyedo na mnapisha kwenye dressing table huko Daslam.....
Naomba niishie hapa tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa Dar ni wavivu kula ugali hadi kuongea.
Yaani mwanaume wa Daslam anataka yeye ndie apigishwe stories na mdada...[emoji12] [emoji12]
Tatizo hana kifua Mkuu imebaki kujiua tu uyohahaaa yaani unachunwa huku unajua kuwa unachunwa ..si umtose tu nakumuacha bills ajilipie mwenyewe
Tena wanachokilalamikia chenyewe hakina kichwa wala miguu....Hivi wanaume wa Daslam, mna matatizo gani....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Maana kila kukicha hamuishi kulalamika yaani....[emoji52] [emoji52] [emoji52]