Mapenzi ya siku hizi hata hayana raha

Mapenzi ya siku hizi hata hayana raha

Nasema hivo kutokana na ukweli kuwa siku hizi mtu anaweza kutongoza au kutongozwa akiwa kitandani kwake hata kabla hajawahi kumuona anayetongozana naye.

Hata ukimwambia mtu wee njoo tu bila kuvaa pichu anafanya hivyo.

Nikikumbuka zama zetu mtu alikuwa na uwezo wa kumaliza miezi kadhaa hata bial ya kuweza kusimama na msichana kwa salaam.

Kwa maana nyingine digital hii ndiyo imepelekea mapenzi kuonekana kama ni kitu cha kawaida tu ambapo mtu akikuzingua kidogo tu unamwambia kuwa hapa nina namba zaidi ya 50 za watu kama wewe wanaonisubiri.

Chezea digital wewe.

Mzee Mwinyi alisema kila zama na kitabu chake. Unaposema ya siku hizi bila shaka unalinganisha na zamani. Wakati huo,hata wao walisema hivyo hivyo. Miaka 50 ijayo watu watasema hivyo hivyo!
 
kweli mkuu siku hizi unaweza kukutana nae mtaani ukatongoza huku mnatembea na dakika chache mbele mkajikuta mpo gesti... Sio digitali ni akili finyu za dada zetu kukubali-kubali tu.
 
Mleta mada, kuna kitu kinaitwa "mabadiliko ya wakati na mazingira" hii kitu ina faida na hasara zake, wewe umeangalia hasara tu, hukuangalia faida. Mabadiliko hayo husababisha vitu vingine kutoweka na vitu vipya kuanzishwa.
 
kweli mkuu siku hizi unaweza kukutana nae mtaani ukatongoza huku mnatembea na dakika chache mbele mkajikuta mpo gesti... Sio digitali ni akili finyu za dada zetu kukubali-kubali tu.

siyo akili finyu. Wanaume siku hizi tunakwenda kasi kusaka fedha kwanza, halafu mapenzi baadaye. Sasa akijifanya kujizungusha zungusha tunaachana naye tunaendelea kufukuzia fedha.
Kwa mtindo huu inawabidi tu wakubali kirahisi, kwani nafasi yao imekwisha chukuliwa na fedha. Wanawake wa zamani walifanikiwa kuwazungusha kaka zetu kwa sababu nyakati hizo watu walikuwa hawaendi kasi kama sasa, na ilikuwa hata kama una umri wa miaka 40 kula kulala ilikuwa inaruhusiwa.
 
Unataka yaweje ili upate raha mkuu...

Nadhani haya ni jinsi unavyo ya shape wewee...
 
Kwanini umzungushe mtu wakati ni kusema tuu YES or NO...Mdomo unao
Huendi search jibu ktk kitabu

Waajabu kweli wanapenda kuzungushwa hawa !!

Ndio maana basi hata serikalini, kufuatilia haki unazungushwa sababu washazoea hii hali








kwahiyo sio raha kwa sababu hauzungushwi?
 
kuna binti kamaliza chuo kila day anakuja geto, hana kazi, jua kali mtaani,
anataka nimle..
Anatia huruma sana.
 
kweli now dayz love is clazy and ize... tafuta smartPhone tu
 
Kwanini umzungushe mtu wakati ni kusema tuu YES or NO...Mdomo unao
Huendi search jibu ktk kitabu

Waajabu kweli wanapenda kuzungushwa hawa !!

Ndio maana basi hata serikalini, kufuatilia haki unazungushwa sababu washazoea hii hali
wakizungushwa maneno "sio raha"
wakikubaliwa haraka maneno "wanawake wa siku hizi cheap hupati shida kumpata"
bora kuwaweka pending sasa sio yes sio no ila mizinga inaendelea....
 
teh teh teh ajabu hii,we husangai mitambo ya analogy ilizimwa na kupelekwa digital na mapenzi nayo wataka ya bakie analogy
 
We huoni kila kitu kimebadilika siku hizi usishangae mapenz tu hata upikaji wa ugali nao umebadilika watu tunapika ki sasa zaidi
 
Back
Top Bottom