Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 490
Nasema hivo kutokana na ukweli kuwa siku hizi mtu anaweza kutongoza au kutongozwa akiwa kitandani kwake hata kabla hajawahi kumuona anayetongozana naye.
Hata ukimwambia mtu wee njoo tu bila kuvaa pichu anafanya hivyo.
Nikikumbuka zama zetu mtu alikuwa na uwezo wa kumaliza miezi kadhaa hata bial ya kuweza kusimama na msichana kwa salaam.
Kwa maana nyingine digital hii ndiyo imepelekea mapenzi kuonekana kama ni kitu cha kawaida tu ambapo mtu akikuzingua kidogo tu unamwambia kuwa hapa nina namba zaidi ya 50 za watu kama wewe wanaonisubiri.
Chezea digital wewe.