Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,653
Walimu walikuwa zamani bana..kwa wale ilborians mnakumbuka..chief ulusojaki(rip), shembilu( rip), mgaya(rip), head master kitemango, akyo, gunda, mkwizu...hawa ndo walikuwa walimu na walitupika haswa..waliosoma ilboru watakuwa mashahidi..hawa walimu sasa hivi wanavaa miligezo..!