Mwembebasha
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 1,424
- 406
Uko sawa mkuu jamaa kakosea alichoandka cyo sawa! mjinga mmoja tena ambaye cyo mwalim amfanye awatukane walimu wote daaah..i take ths as a challange ngoja nrud shule nhame kabsa hii fieLd' :-(
Sent from my iPhone4 using JamiiForums
Mkuu,solution sio kuhama hii field. Ni dharau tu za watu wachache ambazo ninasikitika sana kwamba wengi wamemuamini mleta thread bila hata kufikiri nje ya box kidogo.