Mapenzi ya mtandaoni yanaweza kudumu?

Mapenzi ya mtandaoni yanaweza kudumu?

Joined
Jan 10, 2018
Posts
26
Reaction score
12
Hivi kuna ambae alipata mpenzi kupitia mitandao hasa kama WhatsApp groups na facebook na akadumu nae kwa upendo wa dhati?

Naombeni uzoefu wenu wa kubwa maana kunabinti kanipenda kulitia WhatsApp groups sasa kama siamini vile.
 
Ulitaka akupende kupitia nn ndio umuamini?!

Mimi mwenzio sina hata wa kunipenda hata huko whtsap
 
Hivi kuna ambae alipata mpenzi kupitia mitandao hasa kama WhatsApp groups na facebook na akadumu nae kwa upendo wa dhati?

Naombeni uzoefu wenu wa kubwa maana kunabinti kanipenda kulitia WhatsApp groups sasa kama siamini vile.
 
Ngoja uchunwe kwanza Akili ikujie.

Mtaishia kuchezeana tu.
We endelea nae lkn jitahidi kutuletea mrejesho.
 
Dada yangu mimi aliolewa na mwanaume aliefahamiana nae instagram tokea yupo chuo mwaka wa pili UDSM so kipindi anarudi likizo hom alikuwa hanifichi kuhusu hilo kuwa amepata boyfriend kutoka instagram

Lakini hiyo ilikuwa ni siri yetu sisi tu hadi anamaliza chuo mwaka 2016 na ndoa wakafunga kabisa lakini siri ilibaki kuwa moja tu je Walifahamiana wapi ?

Hilo ndio swali ambalo ilibidi wadanganye kwa wazazi kuwa hawakufahamiana kwenye mtandao bali walikutana kipindi sister yupo field kwenye kampuni flani hivyo ndio mahusiano yakaanzia hapo, ilibidi wadanganye hivyo ili kuondoa wasiwasi kwa wazazi

Ila tu sio kila unayemuona kwenye mtandao umuamini direct........
 
hivi kuna ambae alipata mpenzi kupitia mitandao hasa kama whatsaps groups na facebook na akadum nae kwa upendo wa dhati? naombeni uzoefu wenu wakubwa maana kunabinti kanipenda kulitia whatsapp groups sasa kama siamini vile
Inwezekana kabisa mkuu, mimi mwenyewe mmojawapo.Nishawahi kujichukulia kimwana from whatssap group na nikadumu nae kwa muda mrefu.
 
Possibility ni ndogo sana kudum nae kama mtakuwa mmekutana mtandaoni
 
Yupo mkoa gani na wewe upo mkoa gani mr.inategemeana na umbali hapo na mwanamke mwenyewe
 
kwani wasichana wa whatsaap,istergram wametoka mbingun?chamsingi msome mtu tabia ukiona katanguliza maslah mbele ,kimbia faster
 
Back
Top Bottom