Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Kaka, taratibu .. sitoi namba ya mtu bila ridhaa yake.
Hahahahaaa alipopima na rula akavaa akaondoka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikujua kuwa mapenzi ya mtandaoni yana raha yake ...
Nilianza kuchart na mwanamke akiwa USA, (Mtanzania). Tuliwasiliana kwa kipindi cha kama miezi sita hivi. Ilipofika mwisho wa mwaka alinijulisha kuwa atakuja rikizo nchini Tanzania. Hivyo tulipanga wapi tuonane ili tufahamiane zaidi.
Jambo la kwanza siku zilipokuwa zinakaribia, nilijawa na woga. Ila baadaye nikajiondolea wasiwasi na kusafiri hadi jijini Dar. Yeye aliingia Dar tar. 24 December, mimi nikatia timu tare. 26 Dec. So tulispend siku saba mfurulizo tukiwa hotelini tunakula raha.
Nilichokiona kwake na ambacho siwezi kukisahau!
Alikuwa na vituko kwenye 6x6, kituko ambacho siwezi kukisahau ni kuchezea dick yangu na baadaye kuchukua rula kuona ina urefu gani.
Wewe je uliwahi kuanzisha mahusiano mtandaoni?
Ombeni ruhusa kwa boss Melo vitu vimwagike hapa tufaidi siye!Amesifia sana aweke picha hapa nasi tutoe zetu huwenda anajisifu ana mbio kumbe anakimbizana na Kiwete.
So many times, but.......
I'll be the last one to give my testimony.
Sio kweli mkuu, itakuwa aliondoka kwaoRula haikuwa hotelini, aliinunua tukiwa town nilipomuuliza akanijibu kuwa ana kazi nayo; sikujali... muda na wakati ulipofika wakati wa mpapasano nilishtukia ghafla anafungua mkoba na kutoa rula, then nikasikia anasema safi sana!
Ombeni ruhusa kwa boss Melo vitu vimwagike hapa tufaidi siye!
Utaiona tu..Nimejitahidi kutafuta hiyo raha ya mapenzi ya mtandaoni, sijafanikiwa kupata. Mkuu hii habari sijui imekaaje, au mimi mgumu kuelewa?
Ila siku hizi wanawake wanadanga sana sana kwenye insta, so sio mapenzi ni ufuska tu, badoo nayo km danguroUtaiona tu..
Hapa namaanisha hivi ..
1. Unapenda pasipo kuona chochote ...
2. Unakubaliwa .. hata anayekukubali anakuwa hajakuona ... (siku hizi smartphone inapunguza hiyo raha). Enzi hizo labda uscan picha ndo umtumie mtu.
3. Unaenda kuonana na mtu usiyemjua. Huo ni ujasiri.
4. Mnatenda yale mliyokubaliana kabla ya kuonana ....
Fall in love with a person who enjoy your madness not an idiot who force you to be normal...
Kwangu ilikuwa mara moja na sikurudia tena
Teh teh teh Usisahau kunitag goma likiwaka humu!...Melo atajikuta anatafuta Hadubini kuzoom wengine humu.
miongoni mwa wanawake wenye manjonjo na fix kibao[emoji1]
Atapajuaje bila kujulishwa?You know what, one day HE CALLS ME AND SAY..... YOU KNOW WHAT KASIE....
YOU ARE TGE WOMAN IVE BEEN LOOKING FOR AND AM READY TO TAKE YOU TO MY GRANDPA WHO ALWAYS WANTS ME TO MARRY BEFORE HE KICK THE BUCKET.....
That day I shed tears, I ask is this a joke or serious..... He said, am serious. I was like...... Mdomo wazi nimepigwa na butwaa.... Huyu mwanaume nampenda kufaa.
In my life,he is the one and only my heart clicks with his and good enough HE KNOWS and I LOVE HIM SO MUCH, pure love.
Akipita kusoma hapa atatabasamu.
Enzi zile unachat na yahoo messenger ukibahatika kumpata mdada wa boarding huko basi kijamaa kinasimama kinarukarukaa mnapeana ahadi akifunga shule tu unakuwa unamsubiri ubungoSiku hizi hakuna raha tena ... unajua kitu kikiwa hadimu ndo kinakuwa na dhamani kubwa sana.