Mapenzi ya mbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi ya mbali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tanganyika1, Aug 2, 2012.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 384
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  jamani leo naomba msaada juu ya hili. Mimi ni kijana wa kiume kwa sasa nipo dar ila najipanga kwenda sehemu fulani. Tatitizo langu ni kuwa siwezi kudumu na wanawake mara zote napokua mbali nao. Mihangaiko ya maisha hainiruhusu kukaa sehemu moja kwa muda mrefu. Tangu mwaka 2004 mpaka leo nimeishi tanga, iringa, lindi, dodoma, dar es salaam na sasa niko mbioni kwenda sehemu nyingine. Sasa nifanyeje na siipend hali hii?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,212
  Trophy Points: 280
  Usiwe na permanent demu chapisha chapisha chapa ilaleeeee!
   
 3. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,319
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Unailaa ya kwapo kunuka bila kidonda, sema ushazowea kuonja onja kwani ukiwa na mkeo sehemu ulipo au kumuacha pale kwenye makazi yako rasmi kuna ubaya gani au unaogopa kuibiwa?
   
 4. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu ni kwamba wewe labda hapo serious na hao wapenzi wako unapokuwa nao mbali.
  Mimi binafsi nimekuwa nikiishi mbali na mpenzi wangu kwa muda mrefu,about 4 yrs,lkn nilikuwa commited kwake yaani
  nilikuwa na malengo naye..mi nlikuwa masomoni na yeye pia alikuwa masomoni lkn baadae mi nikaanza kazi mbali na alipokuwa. Naye pia alihitimu na kuanza kazi mkoa mwngne mbali na nlipokuwa.
  Baadae tukafunga ndoa na akanifata nilipo.
  Ila ktk mafanikio hayo kuna vitu vikuu vilivyosababisha yote
  kufanikiwa
  -:Mawasiliano yasiyo katika
  -:Kutembeleana mara kwa mara
  -:Uaminifu
  -:Malengo kwa mwenzi wako na mwisho ni
  -:Mapenzi ya dhati.
  Ukizingatia hayo mkuu utafanikiwa katika mapenzi yako ya mbali..Ni kanuni nilizotumia mimi mkuu.
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  wewe usione soo..baadala ya kuwa na relationship wewe kuwa na locationships tuu.
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,909
  Likes Received: 9,774
  Trophy Points: 280
  Unatakiwa ufunge ndoa!
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,583
  Likes Received: 762
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,014
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mweee tutapona kweli na naniliu
   
 9. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,030
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  ushauri mzuri sana huu..
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Oa mama wa nyumbani uhame nae kila unapokwenda.
   
 11. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  problem solved, ushauri ndio huo mkuu...asante Asulo umewasilisha ipasavyo!
   
 12. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  tena wala usiwe na wasiwasi utapona tuu maana kwa kuwa wajua wewe utakuwa wachovya kwenye K tofauti utahakikisha kuwa watumia condom kwa kwenda mbele. plus statistics favour vito*bi
   
 13. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,014
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mzabzab mwee asa kwani K huwa ina antivirus? dah no naipenda sana K yangu haiwezekani bana manake hata flsh disk ukiinsert kwenye kmpty tofauti inapata virus kuna trojan horse dah virus wanaweza kula files zote mmh
   
 14. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jipange
   
 15. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  sasa wewe ukianza kwenda namna hiyo huta taka kukamatia K
   
 16. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,014
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kuikamata vp bana duh
   
 17. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  sii wewe waogopa trojan sijui vitu gani...watu wanataka kuosha rungu kwa raha zao ssa wewe mie nakwambia long distance ni full usanii tuu....so kamatia K pale ulipokuwepo ukisepa forget abt that K. unatakiwa ukamatie nyingine. usiogope trojan wala babu ya viru wewe ni protection kwa kwenda mbele
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Hii kauli huwa inaifanya niwe nakumbuka usemi wa jamaa yangu mmoja ambaye huwa anadai anaenda kumsalimia mchumbake wakati anadai kila siku huwa wanasalimiana kwa simu!
   
 19. b

  babue Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gooddddddddssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
   
 20. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,014
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  trojan ni aina ya virus wa kmypta , dah sijakusoma vizuri ntarudi baadae
   
Loading...