Mapenzi ya mahandsome

Mapenzi ya mahandsome

Wapendwa marafiki.
Nimekaa nimewaza nikaona nitoe dukuduku hili.

Unajua kwanini wakaka mahandsome hawaoi?
Nawakioa asilimia chache wanadumu asilimia kubwa hawadumu kwenye ndoa.
Haya ndio majibu ya ukweli.

1.wanajisikia wanajijengea wao ni wazuri saa yeyote watapata wanawake.

2.wanavijisheria vyao vibovu kabisa.

3.unakuta asilimia kubwa wamejijengea mwanamke akilini wa kumuoa mf. Mastaa , wenye chura,wenye kujichubua nakuvaa nguo kali kali unakuta unapoteza muda katika watu ambao nao hawana malengo yakusettle kuwa mke wamtu wao bado wanatafuta tofauti nahuo uhandsme wakobado hakupendi hujamvutia anakula na wewe maisha tu uko serious naye unamwonyesha kwenu kwa mabest akishamaliza show yenu anaanza kushtuka utamuoa au kumfuatilia anasepa so unabwagwa.

Anayekuja kumuoa demu wako nijamaa wakawaida i mean sura hakuna .
Unatafuta mke mpaka ukimpata unakuta ni malaya anampeleka mtoto bar mwingine hanyanyui hata mguu hakujali yeye ni simu na laptop hata hakupi haki yako yupo nimechoka mpenzi tufanye siku inginee.
Sasa unakaa naye mpaka unatoka nje nakikupa unahangaika mwenyewe.

Upo unaawaacha wadada wanaokupenda kukujali nakukuheshimu kisa ya sura au hana chura au anayo hana miguu mizuri au anakila kitu ni kwa maana mfupi au mrefu sana humtaki unamkataa au kwa maana kwenu ni muislamu humtaki mkristo .

Utashinda ukipiga miayo wenzako hawakuchagua wanawatoto wakubwa wako msingi wewe unabaki tu unashangaa umezeeka unasura imeanza kuchuja unasaka mke ambae kiuhalisia hayuko ila yupo akilini.

Usipoangalia utachagua mpaka uzeeke ufe.
Kwa maana mwanamke ni yule wakawaida tu.

Ilimradi akupe hitaji la moyo wako ulishawahi kumuona rihana na beyonce wameshawahi kudate na mtanzania gani?

Kaa tu Rihana atakuonaga kwenye JF.

Mamaenu ndogo alikua ananambia eti anapenda mwanaume sura ya baba(Mimi), hapendi kabisa mwanaume sura ya mama.
Mimi nikamwambia wewe mwenyewe sura ya babaako nmekupenda mwenyewe lakn hata sijui napenda nini? Sina misimamo kabisa maana kuna mda napenda flat screen na kuna mda napenda misambwanda.
Tuvumiliane kwa hilo
 
My handsome M Ebu pita Pande hizi... nasikia Umeoa nwdays!! ila Mwanaume unapenda hela za wanawake mpka nakuogopa... !!!Ndukiii
 
My handsome M Ebu pita Pande hizi... nasikia Umeoa nwdays!! ila Mwanaume unapenda hela za wanawake mpka nakuogopa... !!!Ndukiii
Hela za maboya umuhonge mwanaume kisa nini?
Acheni kulishwa malimbwata
 
Back
Top Bottom