Mapenzi ya mahandsome

Mapenzi ya mahandsome

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,756
Wapendwa marafiki.
Nimekaa nimewaza nikaona nitoe dukuduku hili.

Unajua kwanini wakaka mahandsome hawaoi?
Nawakioa asilimia chache wanadumu asilimia kubwa hawadumu kwenye ndoa.
Haya ndio majibu ya ukweli.

1.wanajisikia wanajijengea wao ni wazuri saa yeyote watapata wanawake.

2.wanavijisheria vyao vibovu kabisa.

3.unakuta asilimia kubwa wamejijengea mwanamke akilini wa kumuoa mf. Mastaa , wenye chura,wenye kujichubua nakuvaa nguo kali kali unakuta unapoteza muda katika watu ambao nao hawana malengo yakusettle kuwa mke wamtu wao bado wanatafuta tofauti nahuo uhandsme wakobado hakupendi hujamvutia anakula na wewe maisha tu uko serious naye unamwonyesha kwenu kwa mabest akishamaliza show yenu anaanza kushtuka utamuoa au kumfuatilia anasepa so unabwagwa.

Anayekuja kumuoa demu wako nijamaa wakawaida i mean sura hakuna .
Unatafuta mke mpaka ukimpata unakuta ni malaya anampeleka mtoto bar mwingine hanyanyui hata mguu hakujali yeye ni simu na laptop hata hakupi haki yako yupo nimechoka mpenzi tufanye siku inginee.
Sasa unakaa naye mpaka unatoka nje nakikupa unahangaika mwenyewe.

Upo unaawaacha wadada wanaokupenda kukujali nakukuheshimu kisa ya sura au hana chura au anayo hana miguu mizuri au anakila kitu ni kwa maana mfupi au mrefu sana humtaki unamkataa au kwa maana kwenu ni muislamu humtaki mkristo .

Utashinda ukipiga miayo wenzako hawakuchagua wanawatoto wakubwa wako msingi wewe unabaki tu unashangaa umezeeka unasura imeanza kuchuja unasaka mke ambae kiuhalisia hayuko ila yupo akilini.

Usipoangalia utachagua mpaka uzeeke ufe.
Kwa maana mwanamke ni yule wakawaida tu.

Ilimradi akupe hitaji la moyo wako ulishawahi kumuona rihana na beyonce wameshawahi kudate na mtanzania gani?

Kaa tu Rihana atakuonaga kwenye JF.
 
Hakuna sijawahi kutemwa wala mtu akiniziriaga basi sina shida namuukiza akinitolea nje si basii sio lazima upendwe nakila mwanaume kunawadislike na wanaolike hayo ndio maisha eti sio ulazimishe penzi kisa ni handsome.
 
Mahandsome wengi wanapatikana saloon za kiumeee

Alafu vodacom Ofisi kuu ya Dom ina bonge moja la handsome ina maana na yeye hatotudu kwenye ndoa kama Mo j aiseeee
 
Ishu sio hata sura.

Tabia ndo kila kitu.

Haimaanishi ukiwa handsome automatically you are a player and have all the above qualities.

There are some very fine young men out there na wanajielewa.
 
Mm sura mbuzi ice ndio nazipenda sana kwa sababu upo peke ako yaan hakuna list
Ni kweli no longo longo unauwakika na life na mpango huo hata mimi siku sio nyingi.
Ila na wao huo wanakuwaga na vijitabia fulani unajuta kuwa naye sometimes
 
Ni kweli no longo longo unauwakika na life na mpango huo hata mimi siku sio nyingi.
Ila na wao huo wanakuwaga na vijitabia fulani unajuta kuwa naye sometimes
Vijitabia vyao vya kawaida tu sio kama mahandsome wenu hao
 
Back
Top Bottom