Mapenzi Ya Kweli ?

Mapenzi Ya Kweli ?

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Wadau wa JF hapa kwenye isidingo ya mapenzi napenda kuwauliza eti mapenzi ya kweli ni yepi ? Utayajuaje ? Utayapima vipi ? Na kama haitoshi utayaanzisha vipi ?

N.B. Je wale wanaojiua kama wapo kwa ajili ya kumkosa au kukataliwa na anaempenda je hawa watakuwa wana mapenzi ya kweli ? :frusty:
Je wale wanaopigania mpenzi wana mapenzi yakweli kwa wanaempigania ?
fencing.gif

Vipi kuhusu wivu ,unatokana na kupenda kwa dhati ?

Kulia pengine umpendae anaodoka kwa safari kikazi au kusoma ? Inaweza kuwa geresha tu ?:busu
 
Kila mtu ana kipimo chake cha mapenzi, mi kipimo ni hela mpendwa....
 
Back
Top Bottom