- Thread starter
- #81
Nakupenda pia Laazizi wangu nyonga mkalia ini, tuwe pamoja kama wasiojulikana na ccm!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu siyo mwandiko wa V wangu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakupenda pia Laazizi wangu nyonga mkalia ini, tuwe pamoja kama wasiojulikana na ccm!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume waaminifu wapo wengi na wenye kujitambua, na wanawake waaminifu pia wapo wengi na wenye kujitambua.
Swala hapo ni unasimamaje ili umpate wako sahihi wa maisha....! Ni neema ya MUNGU tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahi sana niliposoma hii
Hahahaha....nishafika #chaliifranciscoBro unaitwa huku gvale
Hongera sana bibie..Da’Vinci furaha ni ya vipindi vipindi ( maisha ni mchanganyiko wa shida, taab, changamoto na chembe chembe ndogo sana za raha na furaha) ila nimejiwekea ka bylaw kangu hizi chance zikiniangukia nafurahia to the maximum