Mapenzi ya kweli yapo

Mapenzi ya kweli yapo

Woooow!!🧚🏻‍♀️🧚🏻‍♀️🧚🏻‍♀️🧚🏻‍♀️🧚🏻‍♀️Make the most of it, tembeleeni kote kunakofikika,kuleni vinavyolika
Itaneni majina yote matamu, dekeshaneni
Furahia kila wakati muwapo pamoja
 
Woooow!!🧚🏻‍♀️🧚🏻‍♀️🧚🏻‍♀️🧚🏻‍♀️🧚🏻‍♀️Make the most of it, tembeleeni kote kunakofikika,kuleni vinavyolika
Itaneni majina yote matamu, dekeshaneni
Furahia kila wakati muwapo pamoja

Asante Mkuu sijui jina gani sijamuita huyu mwanaume 🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️anyway Mungu anajua, waswahil husema kama ipo ipo inshallah

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Enjoy love
Is a beautiful thing

Asante Mkuu sijui jina gani sijamuita huyu mwanaume 🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️anyway Mungu anajua, waswahil husema kama ipo ipo inshallah

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mapenzi bwana yanakufanya hata duniani unajiona wewe na yeye tu, wakati mwingine unatamani wengine wooote wasombwe na Idd Amin wakamwagwe
Lake Victoria 😄😄mbaki only two mkienjoy
 
Mapenzi matamu, mapenzi raha hukufanya dunia usikie inanukia harufu taaaamu ya kuvutia, kila chakula huwa na ladha ya kipekee, huhisi ndege waimbapo wanakuimbia wewe tu, na dunia huwa na rangi za kuvutia za taswira zisizoonekana kwa macho, ooh tukizungumzia the air we breath feels like always you down by the lakeshore! Daah that feeling!
Acheni mapenzi yaitwe mapenzi
 
Back
Top Bottom