Hah jamani msimtishe bana, wanaume/wanawake wa ukweli wapo sana tu. kinachotokea watu wanaingia kwa kutamaniana sio kwa kupendana ndo maana ile tamaa ikiisha visa vinaanza ila ukimpata mtu uliyempenda kweli na mioyo yenu ikakubaliana utaona pepo duniani.
Lakini maangalizo pia katika ulimwengu wa leo usiyapuuze, siku za mwanzo huwa ni hivyo, so take your time to know that guy better and not just gullible for his maybe short time caring before you full insert yourself in him. Ila ikiwa bahati yako kula bata.