Mapenzi ya kweli yapo jamani

Mapenzi ya kweli yapo jamani

prettydiva nakubaliana na wewe MAPENZI YA KWELI yapo, watu tu tumekua na mawazo kua ninavyoishi mimi ndio wote wanaishi hivyo, hapana, watu wapo wanaishi vizuri sana tena zaidi ya miaka 40 ya ndoa bado wanaishi vizuri, walianza kama wewe tu, MAPENZI YA KWELI yapo
 
Last edited by a moderator:
Mmmh coment zinzonesha watu hawamini mapenzi ya kweli....yapo sema wasichana wengi wa kibongo sio kama ww wakimuona mtua anawapenda kama jamaa anavyokupenda wana muuona mjinga ...
 
Ukiona unalizwa kuna mawili

1. Aidha kuna mtu anakupenda alafu unampotezea

2. Unayetembea naye ni mali ya mtu mwingine ama wameshajuana au lahasha.
 
Habari wana jamvi...kuna siku niliwah kupost kuhusu kuwa na jamaa ambaye nlmpenda lakin yeye hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu.Leo nmekuja kwenu kuwashuhudia kuwa wapo wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujua thamani ya mwanamke,kuna kijana nipo nae kwa sasa ambaye alionyesha kunipenda toka tuko wote chuo kikuu japo tulikuwa kozi tofauti hakuonyesha kuchoka kunipenda n hata nlipokuwa naumizwa na maisha yeye alikuwa nami kwa zaidi ya miaka miwili alinivumilia,hakupenda aone machozi yangu lakini mimi sikuwa tayari kumpa moyo wangu.Toka nimpe moyo wangu amekuwa furaha kwangu,yan ananijali hadi nashangaa nlkuwa wapi siku zote,ananipa chochote hata bila kuomba nami zawadi kubwa ni kumpa penzi la dhati na la kweli. USHAURI: Wasichana mnaotendwa kwenye mapenzi msife moyo ipo siku mtakutana na wanaume sahihi kwa maisha yenu,endeleeni kuomba Mungu.

uyo mwanaume kama mimii...ila mie sikutafta aliyeumizwa..nilipata freshh kabisa..japo alinizungusha 2 years..still it was worth it...
sasa mwaka wa 4 huu ups and downs and living our life to the fullest:A S thumbs_up:

mapenzi yapoo
 
Jamani mapenzi ya kweli yapo, kukwaruzana pia kupo kwa kuwa nyie sio malaika so kila mtu ana mapungufu yake. Kuna wanaume wanapenda kweli ila kuna wengine hao ni ugonjwa wa moyo, yani utafikiri waliletwa duniani kupunguza life expectancy za wenzao. So dada mleta mada ukishikwa shikilia wanaume km hao wako wachache hasa hapa Tz.
 
Nahisi umri wako ni chini ya miaka 25.....Ukule ufiwone
 
Wadada mnavyo zisifia sehemu zenye mavuno! Basi tu..!
 
hivi wanaume huwajui eeeh! utashangaa siku ya siku anakuwa kama nyati!

teteteteeee! Akishaichakaza hiyo papuchi na kuigeuza kuwa mdebwedo aka ngorongoro crater....ataona ya kazi gani! Ndo utajua kuumbwa mwanamke ni disadvantage kwenye mapenzi
 
Hilo nalo lilikuwa lakuuliza?:thinking:

lets agree to disagree my dearest frendoooo...am in a really good mood...i hope you too..sitaki tukwaruzane wanguuuu
au thiyooo /////
nsamehemeee mwaya i take it back>>the dirty accusation i made earlier:A S thumbs_up:
 
lets agree to disagree my dearest frendoooo...am in a really good mood...i hope you too..sitaki tukwaruzane wanguuuu
au thiyooo /////
nsamehemeee mwaya i take it back>>the dirty accusation i made earlier:A S thumbs_up:
Poa usijali ubaki salamia:yield::closed_2:
 
Back
Top Bottom