Mapenzi ya kweli kumbe yapo

Na kuna wengine pia wamebahatika wote kujishusha kwa misingi ya haki!!
 
Dada itakuwa kapendezwa na "kitu fulani"
 
Jamii inayo aamini kwenye mali regardless what!!
 
Kwanini pesa na sio mapenzi?
Mapenzi ya kweli hamna yalikuwa enzi za nuhu Sasa ivi ukiona mwanamke ametulia na wewe ujue kuna Jambo analopata faida kwako na si vinginevo na Kama umeoa au hujaoa kosa pesa utajua tabia ya mwanamke

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huo ni ubaguzi na unyanyasaji kwa binadamu mwenzio. Ujinga mtupu kuleta mada za namna hii (mlemavu) we ni mpumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…