Mapenzi ya kweli hayachagui!

Mapenzi ya kweli hayachagui!

Pesa yako itabaki kuwa pesa yako,sikupigi mizinga wala kudemand vitu vikubwa
I'll spoil you kwa uwezo wangu unapofika and I espect you to do the same at your own level,utarudi na upande wa khanga ntashukuru
My point is kwa dunia ya sasa caring inaenda na pesa kidg huo ni ukweli usiopingika na mimi katika relationship zangu caring is one of the pillars ili relationship isonge
Haya niambie kutokana na maelezo yangu hapo litakuwa ni nini?

Ofcourse pesa ni freshi ila sio priority,at times inaweza ikapungua au ikakata sasa how much can you hold mpaka itapopatikana tena ni jambo lingine! Can you persevere?
 
images

Daaaaa umenikumbusha mbali
 
Love has no formula. Pesa,muonekano mzuri, elimu, kuwa vizuri kitandani vyote haviwezi kuelezea mapeni/ upendo. Love is very complicated phenomena, cha msingi kuunganishwa na Mungu otherwise ni shida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom