Mapenzi ya kweli hayachagui!

Mapenzi ya kweli hayachagui!

Asante kwa thread yako mkuu. Ingawa kiuhalisia sidhani kama uvumilivu wa hivyo upo,hasa kwenye kuvumilia ukata wa pesa kwa wanawake.

hiyo ipo sana kwa wenye mapenzi ya kweli usibishe
 
Sijabisha mkuu. Ila ukweli ni kwamba mambo yakiwa magumu sana huwa mnakimbia wanawake

mi nijisemee kwa upande wangu INAWEZEKANA kuvumilia tena sana mi sioni kama kuna uhusiano kati ya penzi na pesa kwangu
 
mi nijisemee kwa upande wangu INAWEZEKANA kuvumilia tena sana mi sioni kama kuna uhusiano kati ya penzi na pesa kwangu

Something tells me it might be you,the one i was waiting for.

How old are u?? 😜😜
 
Hizo ndio tamaa zenyewe sasa. Unajua huko kwingine unakoenda alizipataje hizo hela??

Kwanini usimvumilie wa kwako mkatafuta zenu?

Hapana mkuu,nahis umenielewa vibaya..sina maana I demand vitu vikubwa au twende places expensive,my point is creativity is important kwenye mapenz and inahitaji pesa ofcoures
Lakini nisiseme sana pengine tunatofautiana hobbies, na hobbies zangu zinaitaji pesa maybe☺
Am an outdoor person,going out once in a while,travelling etc etc and I expect a man I date to match with my hobbies,spending time together strengthens the relationship
Mind you hata ningekuwa single I would still do them in my own,so sio tamaa mkuu..sijui kama tumeelewana
 
Nimekuelewa mkuu. Since umesema hata ungekuwa single still ungefanya hivyo vitu,basi sio mbaya hata ukiwa ktk relation ukamsaidia mwenzi wako ktk kuvifacilitate. Siunajua atakuwa kakwama?
 
Hicho ndicho kiini cha matatizo ya mahusiano mengi siku hizi.Wakiumeni kutoheshimu wanawake na kuwafanya kama cotton buds ni zao la kutoridhika kwao! Hebu washawishi wenzio kumi kila siku waachane na hii tabia.Itasaidia sana brenda18

Pesa yako itabaki kuwa pesa yako,sikupigi mizinga wala kudemand vitu vikubwa
I'll spoil you kwa uwezo wangu unapofika and I espect you to do the same at your own level,utarudi na upande wa khanga ntashukuru
My point is kwa dunia ya sasa caring inaenda na pesa kidg huo ni ukweli usiopingika na mimi katika relationship zangu caring is one of the pillars ili relationship isonge
Haya niambie kutokana na maelezo yangu hapo litakuwa ni nini?
 
Last edited by a moderator:
ivi wewe hujui kwendaa maliwatoni na kuoga maji bariiid ndo unachochea nyege hadi papu inajifungua yenyewe???mwanaume unatakiwa kumfikisha mwanamke kileleni huo ndo uanaume wake ...umpe pole hajakufikisha kileleni???labda kama mgonjwa otherwise namwambia ukweli tu kwa maana hakuna namna nyingine labda kama anataka nichepuke....upendo wa kweli lazima umambatane na kufikishwa kileleni .kudinyana kuna nafsi kubwa sana kweye upendo

Nice,Ungekuwa karibu ninge kuhug
 
Nimekuelewa mkuu. Since umesema hata ungekuwa single still ungefanya hivyo vitu,basi sio mbaya hata ukiwa ktk relation ukamsaidia mwenzi wako ktk kuvifacilitate. Siunajua atakuwa kakwama?

Hayo mambo nimeshayafanya sana lakini kwa watu wasiostahili,kwaio kuyafanya tena itabidi tuwe kwenye level gani sijui maybe ndoa.....
Haha najua hapa utapata pa kunikamata
 
images

Mkuu chuo changu hiki
 
Hayo mambo nimeshayafanya sana lakini kwa watu wasiostahili,kwaio kuyafanya tena itabidi tuwe kwenye level gani sijui maybe ndoa.....
Haha najua hapa utapata pa kunikamata

Kwanini unasema watu wasiostahili? Sio kwamba hukuwa mvumilivu vyakutosha?.

Anyway ,kwasasa huoni kama utakuwa unapurnish wasiohusika?.
 
Kwanini unasema watu wasiostahili? Sio kwamba hukuwa mvumilivu vyakutosha?.

Anyway ,kwasasa huoni kama utakuwa unapurnish wasiohusika?.

Sababu niliwavumilia na hawakuona thamani yake
Kwa sasa kama itatokea nikashindwa vumilia sioni tatizo ndivyo ilivyo hata mimi huko mwanzo someone took advantage ya uvumilivu wangu
 
Sababu niliwavumilia na hawakuona thamani yake
Kwa sasa kama itatokea nikashindwa vumilia sioni tatizo ndivyo ilivyo hata mimi huko mwanzo someone took advantage ya uvumilivu wangu

Then i can say "Pole mkuu your perfect time will come"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom