Mapenzi ya kweli bado yapo.

Usawa huu kumpata mwanamke mwenye mapenzi ya kweli ni zali km alopata Bikira Maria la kubeba mimba pasipokukutana na mwanaume,wengine umu wanasingizia et wanadanganywa ,tumewashuudia ambao wameolewa kwa kufahamiana sana kiasi kwamba mwanaume haitaji wala kuelezwa juu ya maisha yake,lakini pale ndani uchumi unapoyumba mke anabadilika nakua fisi ndani ya nyumba na asa kwa wanawake walioajiliwa tabu sana awa kuishi nao vizur usiyumbe kiuchumi yan atakama ulimsomesha ww nakumtaftia kaz atabadilika mpaka utatamani uame nyumba.Wanaume wengi wanavumilia kwa sababu ya watoto tu vinginevyo nibalaa tupu.
 
Mapenzi ya dhati bado yapo lakini yanazidi kupungua.

 
Ila mbona unajichanganya umesema mwanaume huna pesa za kutosha unajitakiaje kuoa,..
Nyie hamjielewi, sasa kama mtu anauza mchicha pesa zinajitoshelezeshaje apo, we kubali kataa hakuna mapenzi ya dhati, tunasaidiana kula ngano tu tujaze vitambi,
 
Ila eli katika Hip hop kuna kauli tunasema ukiona shabiki ni kuku basi watemee pumba au mchele wadonoe...

Wanaume wanawaambia wanawake wanachotaka kuskia
Hapana, mnawaambia kile mnachotamani kuwa ila hamtumii juhudi kuwa hivyo.
 
Unasema wanawake wanapenda kuwalaumu ilihali Kila comment yako unalaumu, sasa hapo sijui tatizo ni nani?!!!!!
Mi lawama zangu labda zimekuja kutokana na experience so, by any chance tatizo liko upande wangu to forgive, lakini kila siku naona matukio mengi mengi wanawake kukosa utu kweny mapenzi hata ndoa, kwa iyo kulaumu kwangu kuna mantiki,
 
Tumeshuhudia wanaume wengi mwanamke anampenda akiwa kapuku tena lofa kweli kweli, wakipata mali wanaume wanabadilika wanakuwa malaya,wanakuwa na dharau na hata kuzitelekeza familia kabisa.

Si ni blame game right!!!!
 
Ila mbona unajichanganya umesema mwanaume huna pesa za kutosha unajitakiaje kuoa,..
Nyie hamjielewi, sasa kama mtu anauza mchicha pesa zinajitoshelezeshaje apo, we kubali kataa hakuna mapenzi ya dhati, tunasaidiana kula ngano tu tujaze vitambi,
Hivi umesoma ukanielewa kweli!! Muuza mchicha anajitosheleza kulingana na hali yake. Akiamua kuoa basi atakuwa amajiona anajitosheleza na anaweza kuoa.
Ila wewe umesema pesa hazikutoshelezi,sasa hazikutoshelezi unaoa ili!!! Huoni kama hapo wewe ndio tatizo? Utoshelevu ni dhana dogo hebu elewa hata hilo dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…