sijui hata nimueleze vipi, ilaWhat is being simple? In layman's language....!!! Ili na wengine wajifunze kuwa "simple" pia... Mr Miller!!
wapo sana, tatizo vijana bado wanaMentality za kuumizwa na uoga, unakuta mtu mguu mmoja nje mwingine ndani.Mapenzi ya kweli yapo ila kazi sana kumpata wa kukupenda kwa dhat
Yaap baada ya kumuambia ukweli anafanya kazi gani, akaanza kumuhudumia mpenzi wake kulingana na uwezo wake.
Ndio kawaida yenu..nimecheka sana aisee
Sasa wewe umejuaje kuna watu wana true love umu au umepiga ramli,Mimi tayari ninaye wangu Mkuu.
Itabidi niwe mkwel kwanzia leo alafu nione kama katika 100 sita otea 1...wanawake wachache sana wanaopenda hela .shida kubwa ya wanaume hawajiamini,ni waongooo.wanabaki kuvuna walichopanda. kuwa real inalipa sana.wao mashauzi yamewajaa inshort hawana hekima wala busara karika kutafuta wenza wao
Iyo research yako imefell pakubwa pole sanaNimeongelea jamii kwa ujumla..ndiyo maana nikatolea mfano wa mtu ninayemjua....