Meseji za kujali tu..kuonyesha ananifikiria mfano kuniuliza ka nishakula...nimekionaje chakula nichokula uko nikokula nk..na mwishoe G9t sweet dreams😘 ... Meseji ka hizo ndo naita za kujipendekeza ambazo mie pia ndo natuma kwa mwengine ninaejipendekeza kwake mara nyingi.Huyo anaejipendekeza yukoje anatumaje sms
Nataka nijue ukute ni mimi niache kujipendekeza
Shida ni kwamba Moyo unajiongoza wenyewe unapotaka...ukifosi mambo hata hisia zinaweza kugoma katikati ya mechi.Unayempenda hakupendi na anayekupenda humpendi,shida yako inaanzia hapa.
Ufundishe moyo wako kumpenda na kumpokea yule anayekupenda na umpotezee huyo asiyekupenda.
Kumbuka kumpenda mtu asiyekupenda Ni matumizi mabaya ya moyo na upotevu wa muda.
Meseji za kujali tu..kuonyesha ananifikiria mfano kuniuliza ka nishakula...nimekionaje chakula nichokula uko nikokula nk..na mwishoe G9t sweet dreams[emoji8] ... Meseji ka hizo ndo naita za kujipendekeza ambazo mie pia ndo natuma kwa mwengine ninaejipendekeza kwake mara nyingi.
Karibu kila siku anatuma... Mi mpaka nijiskie kumsalimia maana naonaga noma kila siku anaanza yeye kunitumia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani mtu kukujulua hali ni kujipendekeza
Ina maana kila siku yeye ndio anaekutumia au na wew unamtumia
Sina uhakika kama anakupenda huwaga sisi hatupendii ukweli ukweli jichunguzee kama una ka hela ndio kinamendewa hapo
Sawa mkuuKwaakili yako Hilo suala Ni la kuleta humu kusumbua watu kwa kitu kidogo hivo?unaambiwa mpende anakupenda asiekupenda achana nae
Kuna mtu anaweza kujinyonga ikawa shida.Inaitwa mbwa kala mbwa Mkuu,Waite wote wawili wakupe solusheni ya Hiyo dailema,pia tupia wazo la threesome huenda ukashangazwa.
Ajinyonge tu kwani Kuna shida Mkuu siku hiyo ID jf tunawasha mishumaaKuna mtu anaweza kujinyonga ikawa shida.
Sawa nitajitaidi kuwa kauzu kwa wote.Achana nao wote.
Utakuja kunishukuru.
Ofcoz..chakula kitamu ni kile unachopenda tu..Ushakula?
Unakionaje chakula?
😬😬😬😬
Shaking my tiny head
Ushakula?Meseji za kujali tu..kuonyesha ananifikiria mfano kuniuliza ka nishakula...nimekionaje chakula nichokula uko nikokula nk..na mwishoe G9t sweet dreams😘 ... Meseji ka hizo ndo naita za kujipendekeza ambazo mie pia ndo natuma kwa mwengine ninaejipendekeza kwake mara nyingi.
Wote hawakufaiSawa nitajitaidi kuwa kauzu kwa wote.