Mapenzi ya kugandana siyapendi

Kuna watu wapo hivyo, sijui wana matatizo gani.

Call ONCE, sms ONCE...
Akiona call na sms atapiga, asipopiga nitajua hana time na mimi.
Ila we ukinisumbua hainaa mbaya
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kwel aisee mm mwenyew inanikera san,,an muda wote usifanye kaz zako uwe unamjibu tu sms zake,,,usipomjib hlo timbwili lake n balaa
 
Pale jizi linapompata mwenye nia ya dhati [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee watu tumetofautiana sana kwenye huu ulimwengu wa mapenzi kila mmoja anayebeba kwa style yake. Tangu hii dunia iumbwe mimi sijawahi kupata manzi wa kuniuliza hayo maswali na huwa na miss kweli vitu kama hivyo vinaongeza sana upendo asikwambie mtu sema haitakiwi kuwa kila wakati mtu afanye hivyo ikizidi sana inakuwa kero. Hebu fikiria upo kazini halafu inaingia message inakuambia baby pole na kazi leo umekula nini? Daah mapenzi kama hayo nayatafuta sana!
 
kitu chochote kile kikizidi inakua kero.Kasoro pesa tu.
 
Mkuu, we are the same..

Nimetoka kumdhalilisha duh, fulan last week...

Ohhhh, baby mbona utaki kulike picha yangu...

Ahahhaahaha ahaha
 
  1. Wewe itakuwa una mipango yako ya kando na itakuwa unawapenzi wengi ndio maana hujiamini kama mwanaume basi una wanawake wengi kama mwanamke una wanawaume wengi na ndio maana hupendi kiuulizwa hayo maswali au kuwa karibu na huyo mpnz wakoHivi kuna raha hapa duniani kama kuwa na mpnz ambae 24/7 unakuwa upo karibu nae ..kuna mwenzako Jana analialia hata simu hapokelewi kifup una yako...loooooh mi navyopenda kuwa na mpnz wangu muda wote ndio majukumu jichunguze vizuri mkuu mwenendo wako.
 
We ni jipu na huna hadhi ya kumiliki mpenzi.
Nenda kimboka ukanunue wale wanaouza, ukishamlipa hana time na wewe!
Utakuwaje na mpenzi halafu utaki akutafute aisee?
 
Raha ya vitoto hiyo. Hata mie ninacho kimoja yaani.....
 
Akisafiri utataka kwenda nae mapenzi ya sikuhizi vijana mnataka kila SAA umuone mwenzi wako maendeleo mtayapataje kwa hali hiyo?
 
Ndo maana kumbe sipumui ,umekaba mpaka kimvuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…