Mapenzi ya kugandana siyapendi

Mtu anayekuuliza sana kila mara wapi upo uwe makini naye.Mara nyingi Hawa Huwa Wana ratiba nyingi hivo anataka ajue ulipo naye afanye yake
 
Yaan mkuu ulivyoandika kama yupo humu pole kwa kugandwa tafuta watu wazima wenzio ujue wala hatakusumbua umtext sawa usipomtext anajionea sawa tu kikubwa kwake heshima na upendo
 
Si uliamua mwenyewe ku-date na mtoto/KE asiye na shughuli ya kufanya...vumilia tu
 
Anakupenda ndo maana ila ukiachwa utarudi kulalamika
 
Pole sana...
Tatizo kabla hujampata, unamzeosha hayo, akishakubali unajifanya hutaki kufuatana fuatana wakati ulimzoesha mwenyewe...


Cc: mahondaw
 
Siku ukipenda utafurahia hayo maswali utataka ajue unaendeleaje,utataka akujali ,ajue mizunguko yako nk.... sio wengine anaweza hata akasafir mpenzye asijue khaaaaaa !!!!
Raha saana kupendwa .....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wavulana mkidate na mabinti taaabu,mabinti mkidate na wavulana shiiiiiidaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…