Mapenzi ya kobe!!?!

ldd

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
790
128
Wadau 2mezoea kujua kuhusu binadamu kila cku! leo 2hame kdgo, swali langu kwenu je kobe (kasa) wanakutanaje kimaumbile?? ili hali wote wamejengewa nyumba wanatembea nayo! msaada kwenye hili wakuu!
 
Kwanza lazima ujiulize, kobe yuko kwenye kundi gani la wanyama.
Amphibia? Reptile? Mamalia? Bird?
Afu rejea notisi za fomu wani topik ya classfication, soma characteristis zao.

unless unataka kujua matumizi ya chaja ya kobe?
 
kama unakumbuka yann mambo ya f1? basi ata maswali ya afya watu wakasomee u-dr miaka 5!!?
 
i didn't know kwamba hii nayo ina-fall kwenye jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki...
 
Wadau 2mezoea kujua kuhusu binadamu kila cku! leo 2hame kdgo, swali langu kwenu je kobe (kasa) wanakutanaje kimaumbile?? ili hali wote wamejengewa nyumba wanatembea nayo! msaada kwenye hili wakuu!

Ukiisha zipata hizi taarifa wafikiri zitasaidiaje kuboresha mahusiano yetu?
 
Kwanza lazima ujiulize, kobe yuko kwenye kundi gani la wanyama.
Amphibia? Reptile? Mamalia? Bird?
Afu rejea notisi za fomu wani topik ya classfication, soma characteristis zao.

unless unataka kujua matumizi ya chaja ya kobe?
mmmmh!makubwa!haya mpe darsa!
 
Back
Top Bottom