Mapenzi ya kitoto bwana..

noony

Member
Apr 6, 2018
65
52
Habarini za jioni wana jamvi
Story ipo hivi...
Ni binti wa miaka 20+ amesoma kamaliza shahada ...hakuwahi kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi kabla kwa kuhofia mambo mengi ikiwemo kuyumba kimasomo. Baada ya kumaliza tu akiwa nyumbani kwao kuna kijana walikua wanafahamiana kipindi cha nyuma ambae kwa sasa haishi karibu na yeye alipo walianza kuwasiliana kwa sababu kadhaa tu za kawaida ila baada ya muda mawasiliano yakaanza kua deep kiasi kwamba binti akaanza kumuelewa kijana ingawa hawajaonana muda mrefu sana...ikaenda wakawa wapenzi wa mapenzi ya mbali, mambo yakawa yanaenda tu vizuri ila baada ya muda kijana kaanza kupunguza mawasiliano kwa binti mbaya zaidi binti kapagawa haoni haelewi saiv na mawasiliano yalivopungua yupo kama chizi...
Utamshauri nini mtu kama huyu?
 
Na wewe uliyekuja kushtani ni nani? Je ni mdada au mkaka? Haya mambo ni kama law of ‘marginal utility’ The more a person possesses a thing the less satisfaction he will drive from it.
 
Huyu ni jirani yangu mkuu
 
Habarini za jioni wana jamvi
Story ipo hivi...
Ni binti wa miaka 20+ amesoma kamaliza shahada ...hakuwahi kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi kabla kwa kuhofia mambo mengi ikiwemo kuyumba kimasomo. Baada ya kumaliza tu akiwa nyumbani kwao kuna kijana walikua wanafahamiana kipindi cha nyuma ambae kwa sasa haishi karibu na yeye alipo walianza kuwasiliana kwa sababu kadhaa tu za kawaida ila baada ya muda mawasiliano yakaanza kua deep kiasi kwamba binti akaanza kumuelewa kijana ingawa hawajaonana muda mrefu sana...ikaenda wakawa wapenzi wa mapenzi ya mbali, mambo yakawa yanaenda tu vizuri ila baada ya muda kijana kaanza kupunguza mawasiliano kwa binti mbaya zaidi binti kapagawa haoni haelewi saiv na mawasiliano yalivopungua yupo kama chizi...
Utamshauri nini mtu kama huyu?
atafutiwe mtu mwengine.. pengine itamsaidia kumsahau huyo wa Awali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata mim nikisikia Bikra sitak ata kusikia mambo ya Kuachina makovu nan anatak alaaaah mambo ni ming Shughul ni mingi
 
Habarini za jioni wana jamvi
Story ipo hivi...
Ni binti wa miaka 20+ amesoma kamaliza shahada ...hakuwahi kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi kabla kwa kuhofia mambo mengi ikiwemo kuyumba kimasomo. Baada ya kumaliza tu akiwa nyumbani kwao kuna kijana walikua wanafahamiana kipindi cha nyuma ambae kwa sasa haishi karibu na yeye alipo walianza kuwasiliana kwa sababu kadhaa tu za kawaida ila baada ya muda mawasiliano yakaanza kua deep kiasi kwamba binti akaanza kumuelewa kijana ingawa hawajaonana muda mrefu sana...ikaenda wakawa wapenzi wa mapenzi ya mbali, mambo yakawa yanaenda tu vizuri ila baada ya muda kijana kaanza kupunguza mawasiliano kwa binti mbaya zaidi binti kapagawa haoni haelewi saiv na mawasiliano yalivopungua yupo kama chizi...
Utamshauri nini mtu kama huyu?

Thread tayari.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom