Mapenzi ya kimashaka

Mapenzi ya kimashaka

Mkuu hongera..Miaka saba kuna watu wameshadate watu zaidi ya 50..Endeleeni kuwa waaminifu hivyohivyo..Mbarikiwe sana
Miaka saba ukitafuta uwiano kila mwaka mmoja madem 7 hivi... Daah!!! Mbona kidogo hao 50. Mwaka nzma madem 7!! Unacheza mkuu.
 
U chumba au wa penzi??? Wewe huko ulipo pia kwani utapotea wapi sister angu au masela uduma humu????
 
Seeenzi wenzio tunatongoza siku tatu mzigo, tukikosa tunasepa sio unang'ang'ania miaka saba unafikiri hatiwi tweheheheeeee
 
Miaka7, mimi nilijuwa mazombi yapo kwenye muv tu!
Kumbe mpaka humu yapo!

Wee ndoa tu hamna namna huyo kakuona wewe ni zaidi ya zombi yaani lizombiiiiiiiiiiiii
 
Itakuwa una matatizo ya kitovu kukuangukia ukiwa mdogo....khaaa...miaka saba unakuja kupata stimu sa hv
 
Embu nipite maana nitatoa tusi yaan una mda wa kupoteza miaka 7 kwa mahusiano? Mnachimba mgodi gani?
 
Back
Top Bottom