KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Umeanza madongo sio?Naomba nikuulize,ivi hiyo miaka 7 na wewe kwanini hutaki kuoa? au unataka upewe ukimbie?
OA jamani usiziniiiii kama mambo bado basi wewe zidi kusubiri na kama umeweza kusubiri miaka 7 <kama kweli>
basi unaweza kusubiri hata miaka 10.... halafu wewe utakua sio mwanamme wa DAR...
Miaka7 hamjachunguliana! Mko mbalimbali?
Lakini mimi naomba nikuulize jamani?,.,,.hivi wewe mtu akikuomba tunda ina maana utamnyima kwa kuogopa eti akiisha kula mautamu baasi atakukimbia?,basi ina maana haujiamini wewe au una KASORO sio bure,lakini kama unajiamini wewe ni CHOMBO basi huwezi kujali.UTAPANUA na utagawa huku ukijua MBUNYE YAKO nawewe mwenyewe uko POUWA.Naomba nikuulize,ivi hiyo miaka 7 na wewe kwanini hutaki kuoa? au unataka upewe ukimbie?
OA jamani usiziniiiii kama mambo bado basi wewe zidi kusubiri na kama umeweza kusubiri miaka 7 <kama kweli>
basi unaweza kusubiri hata miaka 10.... halafu wewe utakua sio mwanamme wa DAR...