Mapenzi ya kimashaka

Mapenzi ya kimashaka

W

Wanaume wa dar wapoje mkuu ??
hawana Mda wakuremba mtihani wa kusubiri walipata ZERO, wakiona huelekei wanakuacha wasije kukosa fursa kwengine
wewe wanakuweka kiporo kama utakua nabahati,au wana kuvalishe pete na kwenu wanajitambulisha wakisha kupata
wanakuanzia drama.......
 
Anatafuta Life experience wapo wanafikisha mpaka miaka 10na iyo saba wala si ya kumsakama sana,
Tupe sifa za wanaume wa Dar maana ukute wengi hatuwajui wamezaliwaje
Hajasakamwa,ila kwa yeye anatupa utata jee nimchamungu sana jibu no sababau asinge taka msaada kama muowaji,sasa inatupa changamoto nyengine mpya ku deal na tatizo lake ............ndio mana maswali mengi wala usifikirie vyengine ni kwa nia safi tuu ....
 
hawana Mda wakuremba mtihani wa kusubiri walipata ZERO, wakiona huelekei wanakuacha wasije kukosa fursa kwengine
wewe wanakuweka kiporo kama utakua nabahati,au wana kuvalishe pete na kwenu wanajitambulisha wakisha kupata
wanakuanzia drama.......
Kumbe wanaume wa dar siyo bora niwe na wamkoani ni waaminifu sana
 
Miaka saba? Dah, hiyo miaka saba mnakuwa mkifanya nini?

Ni kitu kizuri kujitunza, lakini muwe na mutual understanding.
 
Naomba nikuulize,ivi hiyo miaka 7 na wewe kwanini hutaki kuoa? au unataka upewe ukimbie?
OA jamani usiziniiiii kama mambo bado basi wewe zidi kusubiri na kama umeweza kusubiri miaka 7 <kama kweli>
basi unaweza kusubiri hata miaka 10.... halafu wewe utakua sio mwanamme wa DAR...
hahahahahahaaaa... wa dar hawezi subiri 7yrs sio!!! hahaaaa
 
Naombeni mchango wenu,

Wapendwa mimi nina mpenzi wangu, niko nae kwa takribani miaka saba lakini sujawai kufanya nae mapenzi siku nikaja kumuomba mahaba niue akaniambia hawezi nipa mpaka nimuoe.

Sikukaa kimya nikamuuliza swali hivi kabla ya kuwa na mimi ulishawai kuwa na mpenzi akaniambia ndio nikamuuliza kwanini uliachana nae akaniambia tulishindwana kwakuwa mwezangu sio muelewa na wakigombana utoa lugha ya matusi, nikaendelea kumpa maswali kwanini mwezangu ulifanikiwa kumpa kabla ya ndoa akanijibu nilipenda tu.

Nikamuuliza kwahiyo mimi hunipendi akanijibu kwamba anahisia na mimi, badala ya hapo nikamwambia basi tuachane kwakuwa unipendi akanijibu sawa,baadae akaanza kunibembeleza ooh umekasirika mpenzi nilikutania bana usikasirike.

Hivi kwa tafsiri zenu mafundi wa mambo haya huyu ananipenda au hanipendi?

Huyo siyo mpenzi ni dadako tu
 
😉😉😉😉😉Una Miaka Mingapi Mkuu...........😀😀😀😀😀😀😀😀
Maana sasa inaleta shida kidogo, Miaka 7 si mchezo😵😵😵😵
 
Kwa miaka saba daaaa,! Itabid uingie kwenye kitabu watu waliovunja rekodi
 
Back
Top Bottom