Mapenzi ya kale na ya sasa yapi.wapi pana nafuu

ngosha01

Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
41
Reaction score
11
Hebu vuta picha unaweka ahadi na demu au mpenzi wako mkutane.hamba simu.usiku giza no umeme.unakaa unasubiri wee kumbe mwenzako katumwa wilaya ya pili mpaka ujue usha choma maindi kwa tochi..........ila sasa ni mwendo wa fb.wsap.twttr.cmu......ila wazee wanadai mapenzi yao ya kweli kwa sababu walianza jua mapenzi kwenye ndoa.mi yangu hayo tuchangie mawazo yetu:thumbup:
 
kwenye mawswala ya miadi sawa ya sasa ni mazuri....... ila kwa issue nyingine mi sidhani kama ya sasa ni ni mazuri...
 
Mapenzi ya zamani yalikuwa matamu sana na mazuri kwa sababu yalikuwa mapenzi ya kweli tofauti na sasa hakuna mapenzi ya kweli ila kuna kuuziana ngono na kuchunana .
 
ya zamani kikwetu demu unampiga gwala unakula mzingo yaani nguvu zako tu..
 

Unafuu kwa mtizamo upi? Uvumilivu wa kutafuta mpenzi wa enzi zile au urahisi wa kutafutana kimapenzi hivi sasa kunakotokana na kukua kwa teknolojia ya mawasiliano? Hivi sasa wewe unafikiri kuna mapenzi kama zamani au kuna tamaa ya ngono, kupenda pesa, kujionyesha na uhuni kwenye mapenzi kwa baadhi ya vijana na wazee wa siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…