Mapenzi ya Jf Yamenitokea Puani

Status
Not open for further replies.
kabisaaaa, na mkaenda guest!
Kweli kazi!mi naona wote walewale 2,endeleeni kuzini
 
Umejifunza kitu chenye tija kifanyie kazi, usione ukadhani!
 
marahabaa mdogo wangu!!!!!!!!!

pole sanaaaa...... ila mapenzi hayana fomula wala conclusion.
 
mbeya mpaka dar na anatundanganya watu wazima kuwa eti alitoka kapa
dah Heaven on earth unayaamini haya

...mzigo alikula....ila ni genye gani hizo za kumfuata mtu usiemjua from mbeya to dar.... kweli UKIMWI nao una gharama zake kuupata,,, naamini hata CON hakutumia....
 
...mzigo alikula....ila ni genye gani hizo za kumfuata mtu usiemjua from mbeya to dar.... kweli UKIMWI nao una gharama zake kuupata,,, naamini hata CON hakutumia....

Mkuu nosspass ndo maana nimesema mbona anawadanganya watu wazima aise
mbeya mpaka dar na then karudi kimya kimya na gharama zote
Atuambie tuu hapa alichotarajia sicho na alikutana na kitu ambacho hakilipi gharama zake alizotumia
 
Last edited by a moderator:

Hayatuhusu. This is your private business.
 
yaani kweli kuna watu vilaza...i wonder unamvulia kabisa nguo mtu humjui, my foot!
 
Ushamtafuna ndio unajidai kuwa picha zilikuwa si zake... kweli wewe kiboko
 
Marhabaa Destiny,siyo kila anaebanjuliwa anapendwa.
 
nilijikunjua 2. C unajua alikua ameisha ghalamika nikashindwa kumkimbia

ulimgegeda siku ngapi? Siku uliyofika usiku kucha ? Kesho yake maana ulikuwa hujakata ticket ya kurudi mbeya sasa hizo siku zote mbili hukuona kama unaweza badili mawaza. Mtu kama hujampenda huyo mzee anawezaje kusimama? Ndiyo mkome maana humu kuna watu kazi yao ni kutafuta ving'ast tu. Umekutana nalo.
 
hata mi nilikuwa najiuliza hivyo aisee...... Huyu anatuzuga tu hapa au ndio analipiza malipo ya hisia ya kwenye mitandao pamoja na gharama ya kusafiri?
Akaona bora abanjuke tu kishingo upande..
 
hata mi nilikuwa najiuliza hivyo aisee...... Huyu anatuzuga tu hapa au ndio analipiza malipo ya hisia ya kwenye mitandao pamoja na gharama ya kusafiri?
Akaona bora abanjuke tu kishingo upande..

aliamua kufa kijerumani TAI shingoni..teh hata mm ningekunjua GOTI kaka.mbeya dar almost FOTI SAMSING
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…