Mapenzi ya Jf Yamenitokea Puani

Status
Not open for further replies.
hahahhahahahaha uwiiiiiiiiiiiiii mkiwa mnatongozana muwe mnatushirikisha maana malalamiko yamekuwa mengi.
 
cyo hivyo huyu dem ananituc san kwa kua nime run
 
Ungeacha kunbanjua. mbona dar zipo sehemu ambazo unapata umtakaye!?. Kwani ukilala na mtu lazima umduu?. mia
 
na ungekuta hakuna kitobo si ndo ungepagawa kabisa .......kelewuiiiii mbavu zangu mie.
 

Mzinzi mkubwa. Ndo ukome kupenda picha. Mia
 
cyo hivyo huyu dem ananituc san kwa kua nime run
Da humu JF kiboko kumbe wenzetu mmeshaanza banduana zamani.
Mm nilijua ni kupost tu na kudanganyana mara kuinguia Chumvini mara kater*** kumbe kuna Practicle za kweli
halafu umemalizia vizuri huyu dem ananituc san kwa kua nime run tudadavulie anayekutusi keshaingia kwenye Thread hiiihii? maana naona km wote wamekutusi sasa mMention kabisa hata kwa ID tuyamalize kwa kuhukumu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…