pozzyfaza
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,453
- 268
hay! vjana wa jf,
najua mungu anatupenda na kutulinda
namshukuru kwa hilo.
juzi kati nimetokewa kupendwa na msichana humu jf, lakini yaliyonikuta ni makubwa.
coz alikua ananitumia picha nzuri sana nikajua nimepata mrembo, lakini yeye yupo dar na mm mbeya, bac bwana nikafunga safari mpaka dar, nikafika mida ya saa nne ucku, nikakuta mrembo kakodi hotel nikabanjuka kijana, nikanyoosha goti.
lakini jamani binti mwenyewe alikua tofauti na picha alizokua akinitumia.
kiranga changu nikamwambia mbona c yy coz ule urembo niliokua niiuona co. alikua anatisha coz wembamba ulikua umezidi, kiukweli nilimOgopa. nilipo ondoka nikawa nimekata mawacliano.
c ndio nikaanza kupokea msg za matuc kutoka kwake, amenitukana sana eti nilikua nataka kumchezea.
lakini haikua nia yangu coz alikua akinidanganya ata katika picha. ambazo c zake,
nilikua napenda kina dada muwe wakweli.
mcweke pic ambazo c zenu.