Mapenzi ya go and retain, No

Mapenzi ya go and retain, No

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Kwenye mapenzi kuna zile up and down hilo ni swala la kawaida tu kutokea kwenye mapenzi sababu huwezi kuna na furaha milele!
Sema mapenzi yakuachana kisha kurudiana kwangu mimi ni big no!

Tukiachana ndio imeisha hiyo maana mara nyingi watu wengi wanaorudiana maumivu inakuwa ni maradufu zaidi ya mwanzo! Pia, kwenye kile kipindi mmeachana inaweza kuwa alicheza mechi za mchangani za hovyo hovyo kiasi kwamba hata mkirudiana yanakuwa ni yale yale kila siku kulia lia!

Tukiacha tuachane mazima ukitoka imetoka ikirudi pancha!
 
kwa taarifa yako hizo mechi za mchangani zinachezwa hadi wakati mkiwa pamoja na mechi hizo ndo hua chanzo cha migogoro hata kupelekea kumwagana
 
Naenda zangu madhabahuni kutubu dadii,
That great.. Mungu akuzidishie baraka na akusamehe dhambi zako bila kusahau akuzidishie kaurembo amaizing..😉

Mi weekend leo nipo skani nakunywa juisi kola na bagia pembeni na chai.. njoo tujumuike mrembo..
 
Amen Amen, ntakuombea nawe....Ahsante kwa mwaliko wa kishujaa🏃‍♀️
 
Okay.. lkn mbali na yote nimekuelewa haswa!.. ukarimu wako na maneno yako matamu yamenivutia!, nafikiri bwana analakuteta nasi.. ni kama vile nalipatia picha umbile lako lilifinyangwa na fundi stadi ambae si tu alikujaali,Bali alikupa na kukujaza vile ambavyo ni Siri yakwako nami nitaka niitambue siri hiyo!.. wasemaje mrembo..?😉
 
Ila wewe, una vimaneno kama muimba ngonjera ujue...😄😄Usitake nigombane na mdogo wangu Saint Anne
 
Okay.. lkn mbali na yote nimekuelewa haswa!.. ukarimu wako na maneno yako matamu yamenivutia!, nafikiri bwana analakuteta nasi.. ni kama vile nalipatia picha umbile lako lilifinyangwa na fundi stadi ambae si tu alikujaali,Bali alikupa na kukujaza vile ambavyo ni Siri yakwako nami nitaka niitambue siri hiyo!.. wasemaje mrembo..?😉
Nakuona mkali wa Tenzi za Hubani 🤣🤣🤣
 
Nenda,nenda mbali sana.sikutafuti na usinitafute cos sipakumbuki misri kwendaaa tena tukikutana usinisemeshe fanya kama umepishana na upepo
 
Back
Top Bottom