Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Kwenye mapenzi kuna zile up and down hilo ni swala la kawaida tu kutokea kwenye mapenzi sababu huwezi kuna na furaha milele!
Sema mapenzi yakuachana kisha kurudiana kwangu mimi ni big no!
Tukiachana ndio imeisha hiyo maana mara nyingi watu wengi wanaorudiana maumivu inakuwa ni maradufu zaidi ya mwanzo! Pia, kwenye kile kipindi mmeachana inaweza kuwa alicheza mechi za mchangani za hovyo hovyo kiasi kwamba hata mkirudiana yanakuwa ni yale yale kila siku kulia lia!
Tukiacha tuachane mazima ukitoka imetoka ikirudi pancha!