Mapenzi ya dhati

So funny, vipi kama akifanya kwa vitendo akakuletea kasuku atakayekuwa anakutamkia neno "nakupenda" kila uamkapo utaridhika kuwa anakupenda?

Lol!
kusema kweli mimi napenda sana akiniheshimu mimi, ndugu jamaa na marafiki.
pili awe msafi wa kila kitu sio mwili 2
3. asiwe mtu wa kukasirika au kusikiliza maneno ya watu
4. ajue hisia ni nini, yaani ajue pale ninapomuhitaji au anaponihitaji mimi awe anasema, maana wengine hawasemi, na matokeo yake wanatoka nje ya mahusiano pindi wanapokutana na wakinafataki.
5.uwongo kwangu mi ni sumu yaani nikijua ananidanganya huwa sitaweza kusonga mbele na yeye tena japo kudanganywa kupo ila si unajua kuna uwongo mzuri na mbaya ndugu?
yaani kwa ufupi mtu akiwa na hivyo nitaona ana ,mapenzi ya kweli/dhati.
 
mmmm! kaka neno "nakupenda" sio ishu mbona hata kanisani tunaambiwa hilo neno, cha msingi ni msimamo wetu, kutamkiana nakupenda sio dili kama matendo yako kinyume...afu wale wanaojifanya ni kasuku kwa kutamka nakupenda kila sasa wengi wao ni waongo...
 
1 .kusema kweli mimi napenda sana akiniheshimu mimi, ndugu jamaa na marafiki.
2. awe msafi wa kila kitu sio mwili 2
3. asiwe mtu wa kukasirika au kusikiliza maneno ya watu
4. ajue hisia ni nini, yaani ajue pale ninapomuhitaji au anaponihitaji mimi awe anasema, maana wengine hawasemi, na matokeo yake wanatoka nje ya mahusiano pindi wanapokutana na wakinafataki.
5.uwongo kwangu mi ni sumu yaani nikijua ananidanganya huwa sitaweza kusonga mbele na yeye tena japo kudanganywa kupo ila si unajua kuna uwongo mzuri na mbaya ndugu?

6.sipendi ile tabia ya kujifanya kasuku, yaani kila saa unasema "i luv u" ok najua unapenda punguza maneno na uonyeshe vitendo, maana hata kasuku akichoka kurudia maneno anakwangu banda au chochote kilicho karibu nae.
yaani kwa ufupi mtu akiwa na hivyo nitaona ana ,mapenzi ya kweli/dhati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom