OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Muimbishie kwenye Pm. Hapa hadharani hakuna privacy, atakuelewa tu huko mkamalizane tu. Mkuu we mbayaaaa!
Sio tu kuumwa,niwe unconscious hasa!
Aaaaanh kwa hiyo hapa ndo freshi!!!!!
side room ni mbali kutoka kwa wagonjwa wanapo lala labda alikuwa anapiga chabo huyo!Labda walikuwa side room au nurse's station na mida hiyo kashawatungua dozi akajua safi mambo yake!!!!!
Jamaa akasikia "delirium" akaita!!!!
Kuna wagonjwa wanoko sana!!!!!
Una hamu ya kufunguliwa thread?
Go ahead.
side room ni mbali kutoka kwa wagonjwa wanapo lala labda alikuwa anapiga chabo huyo!
lakini hata nesi alitakiwa afanye kimya kimya angalau kuficha ukizingatia na mazingira yale si rasmi kwa biashara ya "uumbaji" kelele zake zikasababisha mgonjwa amnokoleeUnajua wagonjwa wanapenda manesi sasa huyu jamaa labda alijua akipona tu alianzishe sasa likamkuta hili akaona japo aite na jibu likawa aendelee kuwa mpole till the next injection is due!!!!
Ha ha haaaa labda mambo mengine ni involyuntari!!!!lakini hata nesi alitakiwa afanye kimya kimya angalau kuficha ukizingatia na mazingira yale si rasmi kwa biashara ya "uumbaji" kelele zake zikasababisha mgonjwa amnokolee
Mwanamke atatongozwa tu na mtu yeyote mahali popote. Ukiamua kujiachia tu, utatembea na kila mtu.
Asije kukugeuka tu!!!
Hawezi!
Sasa hata akija atazuia moyo wako???!!!
Kwani unataka kuutoa moyo wangu?
Kuuteka tu!!!
Ngoja niuulize kama uko tayari kuwa mateka!
Naona mmefikia pazuri, utamu unafuata soon! Kazaneni.
E bwana, madaktari wa kinywa na meno nao wanakomaje, especially kwa wadada ambao matatizo yao siyo emergency. Yaani ni cosmetic na elective zaidi. Wanatupia visketi vifupi na vinguo vya juu dizaini ya top, akijibweteka tu kwenye dental chair kisketi kinapanda juu, paja zote mbili nje nje, akiniinama kidogo katop kanapanda, kimgongo chote nje, hapo sasa kama ni shanga haya, kama ni gold or chain za kichina haya, kama ni bikini au chupi imesahaulika kazi kwako. Sasa hapo dentist ndo kuweka sura ya ukauzu kweli kweli, la sivyo hata gharama za matibabu zitasahaulika. Ukijologa utoe namba za simu ndo hatariii zaidi, hata usiku wa manane utasikia ngriii ngriii ngriiii, samahani dr, yaani jino linauma balaa, ilhali unajua kabisaa umemchapa na dawa za maumivu ambazo hata cancer inaziogopa. Jamani madaktari mara nyingi wanategwaaaa