OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Dah me nakumbuka nimeelazwa muhimbili 2004 , mida ya usiku wa manane si nkasiki miguno ya mapenzi , kuangalia nesi anagongwa na jamaa aliyekuja kulala na mgonjwa .. Nilikasirika mnoo... Namwita nesi anajibu we si utuliee , sindano yako mpaka saa kumi... Mamaee
Naomba nikuhakikishieni more than 75% ya mahusiano yanaanzishwa na wagonjwa...madaktari wanaelewa hatari ya kutongoza wagonjwa...wengi wanafuata maadili lakini kwa kuwa wao ni binadamu huwa wanakwama na kufall kwenye temptations na kuishia kula mgonjwa (sorry aliyekuwa mgonjwa cos huwezi kula mgonjwa)
Nimejiuliza pia hapooo!
Ha ha haaaaa na hivi ulikuwa na "wigo" ukaona jamaa kama kalamba bingo!!!!
Sasa we unaona kabisa hawezi kuja uliita ili iweje na sindano kumbe sa kumi????!!!!
Mwanamke atatongozwa tu na mtu yeyote mahali popote. Ukiamua kujiachia tu, utatembea na kila mtu.
Naona hata nurse hakuona umuhimu wa kuweka Screen ku-maintain privacy akidhania mgonjwa kalala usingizi kumbe anakodoa mimacho mweeeh!
Labda walikuwa side room au nurse's station na mida hiyo kashawatungua dozi akajua safi mambo yake!!!!!
Jamaa akasikia "delirium" akaita!!!!
Kuna wagonjwa wanoko sana!!!!!
Haahahahha,..
Dah me nakumbuka nimeelazwa muhimbili 2004 , mida ya usiku wa manane si nkasiki miguno ya mapenzi , kuangalia nesi anagongwa na jamaa aliyekuja kulala na mgonjwa .. Nilikasirika mnoo... Namwita nesi anajibu we si utuliee , sindano yako mpaka saa kumi... Mamaee
Mkuu naona unamtetea sana nurse kugegedwa mahali pa kazi na relative wa mgonjwa!Labda walikuwa side room au nurse's station na mida hiyo kashawatungua dozi akajua safi mambo yake!!!!!
Jamaa akasikia "delirium" akaita!!!!
Kuna wagonjwa wanoko sana!!!!!
Mkuu naona unamtetea sana nurse kugegedwa mahali pa kazi na relative wa mgonjwa!
Unaweza ukakuta mtu maendeleo yake sio mazuri unaumiza kichwa kumbe hapati care anayostahili, underdose na kama hayo kisa kaingilia masista anga zao!!!
Unajua umoja wa hao watu ukiwatibua!!!!!
Khaaaa yaani mgonjwa ajue litho. Position ya care taker wake, huyu si mgonjwa mnoko mkuu!!!!
Ni kweli mkuu, client wengi wanatokea kuwadharau sana manesi wakisahau kwamba wao ndiyo wana play part kubwa sana kuwahudumia katika matibabu.
Unanikumbusha nesi mmoja alikuwa akimfanyia evacuation dada mmoja aliyepata misscarriage, tatizo la yule dada hatulii kila wakati anarusha miguu,.
Sasa yule nesi hakumpiga ganzi akamuacha hivyihivyo kwenye Setting ya Lithotomy Position,. Hahahhahahah,.. akaenda kuhudumia client mwingine,.
Halikuwa jambo jema kwa mgonjwa but nesi hakuwa na Jinsi wagonjwa walikuwa wengi. Alipomaliza kumhudumia mwingine ambaye alionyesha utulivu akamrudia yule wa mwanzo.
Mbona alitulia kimya bila hata ganzi.
The way unavyom-treat client wako ndivyo atakavyo-behave wakati unamsaidia.
Kama anaimbisha tu mpaka aeleweke na si kubaka, na mgonjwa kukubali au kukataa kwake hakutaathiri huduma atayopata hapo hospitali,sioni shida.
Kuna mabint wanakuwa turned on na makoti meupe yale!!!!
Nikuimbishe hapahapa au mpaka uumwe???!!!!