kweli mkuu wanakera sana.tena inaniudhi mtu kajifungua juzi tu anaanza kukustalk,akikutana na daktari mwingine anagoma kutibiwa mpaka aje kwako.sometimes wanaliwa kutokana na vimbelembele vyao.binafsi nishawahi kuwa na wapenzi kama wawili lakini niliwatokea baada ya wao kupona na sio kwa kutumia taaluma yangu.kuna mke wa mtu alinifanya nibadilishe mpaka namba ya simu...
kweli mkuu wanakera sana.tena inaniudhi mtu kajifungua juzi tu anaanza kukustalk,akikutana na daktari mwingine anagoma kutibiwa mpaka aje kwako.sometimes wanaliwa kutokana na vimbelembele vyao.binafsi nishawahi kuwa na wapenzi kama wawili lakini niliwatokea baada ya wao kupona na sio kwa kutumia taaluma yangu.kuna mke wa mtu alinifanya nibadilishe mpaka namba ya simu...
Mkuu kuna wagonjwa wanaojenga imani na madaktari wanaowatibu, ndiyo maana unakuta baadhi ya wagonjwa wanachagua madaktari wa kuwatibu, usipomjali wakati wa kumhudumia anakukwepa, next meeting unaonanaye kwenye corridor hospital anamtafuta daktari mwingine wa kumtibu hata kama uliweka appointment naye .
It seems you are a good Doctor ndiyo maana wanakuganda! That's good in medical Field.
Ha ha haaaaa tena anaweza kubisha kama.yeye ndio mgonjwa kisa aliambiwa juzi kichwa kinauma basi akimfikisha tu hata kama siku hiyo shida sio hiyo ye anataka hiyo ndio main complain!!!!!
Msee dakitari jatraja kichwa!!!
We ndo unaumwa????!!!
Sio, ila mi najua hiyo tangu mutrotro kabisa!!!!
Hahaha si unajua eeh.
aisee Mungu alietutoa umasaini na atukuzwe.
Tena ukijibu maswali ya dr mume anakuwa mkali hukawii kudundwa. Pata picha dr akisema vua sketi ulale hapo nyuma ya pazia hehehe, mbona hapatatosha sasa? Serikali mesaidia sana mama yoyoo aisee. Ashenaleee!
Ni wewe unayetazama kwa jicho hilo, watu wanabadilishwa zamu kila uchao kisa ni good practice and patient care!!!!
Lakini ni ukweli ulio wazi wagonjwa wapo wa aina nyingi sana sana na vituko ni vingi sana labda kuliko mtu anavyoweza kudhani!!!!!!!
Anaweza kuja na comps za kifua na maelezo kama ya pneumonia sasa mwambie say afungue vishikizo for auscultation waweza kuta kavua mpaka bra, ole wako sasa uwe hukuwa na nurse!!!!!
Yaaapo mavisa kibao tu!!!
Mkuu nakushangaa sana, iweje ufanye Jambo kama hilo bila kuwa na Chaperone ukizingatia ni jinsia tofauti hiyo?
Review tena utaratibu wa namna ganiya ku-conduct Physical examination kwa client wako.
Mkuu nakushangaa sana, iweje ufanye Jambo kama hilo bila kuwa na Chaperone ukizingatia ni jinsia tofauti hiyo?
Review tena utaratibu wa namna ganiya ku-conduct Physical examination kwa client wako.
navyojua kitu unavyoona kila siku unakuwa huna ham nacho,sasa daktari wa magonjwa ya kike naye hazoei tu wakati anaziona kila siku
kwa dhumuni la kutibu,anaona ya kila mgonjwa anapomtibu halafu but anamtamani tenaAnaona kwa dhumuni gani???!!!
Kuzoea kwa vipi? ??!!!!
kwa dhumuni la kutibu,anaona ya kila mgonjwa anapomtibu halafu but anamtamani tena
Kuna baadhi ya madaktari wana tabia za ajabu sana wamevuka mipaka badala ya marupurupu yao kuwa ni pesa sasa marupurupu imekuwa ni ngono kwa wagonjwa.
Yaani mgonjwa akiwa anatibiwa daktari anaanza kumtongoza ili kulipwa fadhila ya ngono baada ya mgonjwa kupona. Wengine wanadiriki hata kufanyia ushenzi huu ofisini kabisa!
Je, haya ndo marupurupu ya doctor? Hii ni kinyume kabisa cha maadili.
Dah me nakumbuka nimeelazwa muhimbili 2004 , mida ya usiku wa manane si nkasiki miguno ya mapenzi , kuangalia nesi anagongwa na jamaa aliyekuja kulala na mgonjwa .. Nilikasirika mnoo... Namwita nesi anajibu we si utuliee , sindano yako mpaka saa kumi... Mamaee
Naona unatamani ungekuwa ni wewe kwenye hiyo fursa! Teh teh teh!Na wewe umbea umekuzidi, sasa unaumwa ya nini uhangaike na mambo mengine usiyoyaweza?
Anyway manesi watamu sana naona Jamaa alikamata fursa kiulaini tena hakukuwa na haja ya Privacy maana ilikuwa mida mibovu hiyo.