Ee Mungu kizazi hiki kinaangamia kwa kukosa maarifa........
. Wanawake wengne yaan akili zipo kwenye hedhi kadri unavyomwaga dam ya hedhi ndvyo akili znamwagika.
Hahaaa nlishaanza kukutukana kumbe umesema 'kuna wanawake'
na unavyopenda kuripuka?!
Ungenikuta niko mapajan tayar kwa safar ohooo!
another day, another story!!!!
My god hivi dada hebu jiweke wewe kama mumeo halaf ukafanyiwe unachotaka kusikia utajifikiriaje halaf wewe dada kwa mumeo si wapata unachotaka mapenz ya dhat pia si anakupatia hiv umezaa nae tayar bado hujajifunza kumoenda na kwenda nae kwenye biti mambo mengine n.kujitakia ukienda kwa huyo kwanza ujichongee na jeneza kabisa.
Ya kwenda wapi?
Yeah and its weekend today lol!!
Kuna umuhimu wa kumiliki silaha...
watu kama hawa, wasiojua nini maana ya maisha wanazidi kuongeza CO[SUB]2[/SUB] na CO..!
yaani mapenzi hayaishi vituko, mpaka tunakosa maneno ya kushauri!!! Ngoja tukautafute upepo wa bahari tu
mkuu naona unaitafuta siraha kwa hali namali.
Kuna moja n mpya ya mchina inaitwa norinco pisto. Inapakia risasi 11 ndan ya magazine na ukiwa mtaaram wa hivi vitu basi inaweza kupakia hata 12 : inapiga mita 100 hadi 250. Ila hizo mita mia inaua kabisa zngne zaidi hzo inajeruhi.
Kariba ya mtutu ni 2.3mm. Ni bastora nzur
Mtaka mwingi na saba hupata mwingi msibaaaa!!
Mkuu, nimeshajaza form tayari. Nitamiliki silaha kwa kibali halali...!
Watu kama hawa, ambao kazi yao ni kuchojoa ovyo..ni kuwapa dawa tu baaaas..!
Ahaaaaa bahatii yakoo nlikua cjaelewa bt now nmekuelewa subir nifike moro ntakushaur