Mapenzi Uswazi

Mapenzi Uswazi

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
9,889
Reaction score
2,808
Madem bwana,

we ukiwa Tandika afu ye akiwa Kibaha utasikia

" mapenzi gani hayo ya kuwa mbali na mpenzi wako, mi siyawezi. Tafuta mwingine"

ila ukiwa USA sasa Utamsikia

"bebi ujue mi nakupenda, nakusubiri urudi tuwe wote mpenzi wangu"
 
  • A%20S-key.gif

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom