Kwa sasa naona kabisa mapenzi yameshanishinda ila napata shida Sana kuwaambia hawa mabinti kuwa siwahitaji Kwa sasa napata shida Sana kuwaambia ukweli.
Naombeni ushauri wenu aisee nataka niachane na wanawake wote Kwa sasa nianze kujitafuta na huu udaktari wangu wa mifugo Hadi nijipate .