Ninaamini kuwa mapenzi ni kutoa na kupokea. Kinachotolewa na kupokewa, vinatofautiana kutegemea na mtu mwenyewe, kama ulivyosema yaweza kuwa affection, uelewa nk.. na wengine kama ulivyosema mwanzo, pesa inawaletea furaha
Money can't buy love,respect,affection, you have to earned them...Nakubaliana na wewe kuwa exchange inaumuhimu wake kuwepo kuendelea kusukuma gurudumu la uhusiano, lakini exchange hiyo sio pesa
Money can't buy love,respect,affection, you have to earned them...
Bila pesa hakuna Mapenzi
wengine wanaamini kwenda vacation na kufyonza champagne ndio furaha ya mapenzi ndio maana nimemueleza kuna watu wanakunywa togwa na mihogo ya kuchoma lakini wana furaha mno.
Well saidNimegundua wasichana wanaotoka 'well to do family ni easy kwao kupenda bila kuangalia pesa' kulinganisha na wale wanaotoka 'familia za kimaskini sana'.....sababu definetly hawataki kurudi huko na huwezi kuwalaumu
Bila kujali ameshakaa miezi au miaka mingapi lakini nampa miezi sita tangia siku alipojitangaza rasmi.Kwan mpaka sasa umeshajua amekaa muda gani?