Mapenzi sio pesa

Mapenzi sio pesa

Mkuu acha kulialia vuta chuma kingine nacho kikizingua unavuta kingine mwendo ni huo..wapo wengi sana hawa viumbe kwanini uteseke.
 
Umetumia Pesa haijakusaidia....
Sasa anza kutumia akili.... Huwa haziishi Broo.
 
Game( akili) muhimu...
Halafu usitafute pesa kwa ajili ya wanawake— tafuta pesa kwa ajili yako binafsi.

Siku ukimuonyeshea Mwanamke unampenda sana siku hiyo hiyo anakudharau.
Hata kama wewe ni tajiri usipokua na Game ( saikoloji) utaliwa tuu

Love with distance bro
Be ready to lose her
Mwanaume ni polygamous by nature so unaanzaje kukomit kwa ki Mwanamke kimoja !

Jamaa mmoja bilionea wa madini
Ilikua kila akienda kukagua duara lake usiku anarudi Asubuhi!

So wife wake akampenda jamaa yangu,
Jamaa ( bilionea)akiondoka tuu Mida ya saa tano usiku Mke anaita Bodaboda wake hadi Lodge

Manzi anakuja anapigwa mashine Masaa matatu Tisa usiku anarudi home!
Jamaa anarudi alfajiri anamkuta Mke wake kasharudi amelala!

Jamaa yangu hakutaka kuendelea nae sababu ni mke wa Mtu na alikata mazoea baada ya kuanza kumuita mshikaji Mume wake na kutaka amtie mimba!

So Tumia akili (kama jina la Member mmoja humu) na siyo pesa na akili ni ‘Wewe kwanza’ Mwanamke second in your life kama wazee wetu wa zamani walivyofanya

Pesa kionjo tuu na Uwe nacho!
 
Shoo mbovu kaamua aende kula show ya kibabe kwa Mwamba huko maana hapo kaona hali tia maji tia maji

Ulikuwa unafelije mzee baba?
 
Nikaja kujua kwanini kwenye ndoa bao 4 ni ngumu.
Nikaja kujua kuwa kwanini neno babe linapotea baada ya miezi kadhaa.
Nikaja kujua kumbe nguvu za kiume ni direct propotional na pesa

Usiji stress sana siku zote penzi jipya ni tamu ila mda upo mambo yatakuwa sawa tu kama kwako aliko kuacha .

Mda unatibu.
 
Game( akili) muhimu...
Halafu usitafute pesa kwa ajili ya wanawake— tafuta pesa kwa ajili yako binafsi.

Siku ukimuonyeshea Mwanamke unampenda sana siku hiyo hiyo anakudharau.
Hata kama wewe ni tajiri usipokua na Game ( saikoloji) utaliwa tuu

Love with distance bro
Be ready to lose her
Mwanaume ni polygamous by nature so unaanzaje kukomit kwa ki Mwanamke kimoja !

Jamaa mmoja bilionea wa madini
Ilikua kila akienda kukagua duara lake usiku anarudi Asubuhi!

So wife wake akampenda jamaa yangu,
Jamaa ( bilionea)akiondoka tuu Mida ya saa tano usiku Mke anaita Bodaboda wake hadi Lodge

Manzi anakuja anapigwa mashine Masaa matatu Tisa usiku anarudi home!
Jamaa anarudi alfajiri anamkuta Mke wake kasharudi amelala!

Jamaa yangu hakutaka kuendelea nae sababu ni mke wa Mtu na alikata mazoea baada ya kuanza kumuita mshikaji Mume wake na kutaka amtie mimba!

So Tumia akili (kama jina la Member mmoja humu) na siyo pesa na akili ni ‘Wewe kwanza’ Mwanamke second in your life kama wazee wetu wa zamani walivyofanya

Pesa kionjo tuu na Uwe nacho!
Kweli kabisa...mwanamke wee mgegede tuu ufurahi ila tambua yoyote anaweza gegeda pia
 
Tatizo lenu vijana mnaendekeza sana mapenzi, hapo ndo shida inapoanzia

Tafuta hela, enjoy maisha usiyape sana mapenzi kipaumbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom